Habari ndugu zangu. Natumaini wote ni wazima. Mimi ni mwanachuo Nilikuwa naomba kujuzwa kama kwa bima yangu hii ya NHIF(50400/=) naweza kuitumia kufanya vipimo vya macho kwenye hospitali kama vile CCBRT na zingine? Msaada wenu maana nasumbuliwa na macho hasa kwenye mwanga mkali.
Habari za mda huu wana jamii forum..nipende kuwasilisha maombi haya kwenu..yeye ni dada/binti wa miaka 22 anaishi Mwanza kwa sasa ana elimu ya level ya form four anatafuta kazi ya kufanya Dar es Salaam.
Kwa mwenye fursa ya kazi anichek inbox (pm)
Wakuu samahani nilikuwa nauliza kwa mtu mwenye ufaulu wa div one ya8 (1.8) HGL kwa ufaulu wa mwaka huu 2021 ulivyo na ushindani uliopo pale UDSM je, ana asilimia kubwa kupata kuchaguliwa kozi ya law hapo UDSM kwa hiyo one ya point 8...huyo mtu ashaa apply tayar hapo hiyo kozi ya Law...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.