Recent content by Turbin

  1. T

    JamiiForums Tanzania Unatafuta Programu (Application au Website)? Unabiashara au wazo? Njoo Tuyajenge!

    Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2 mpaka week mbili ikiwa ngumu sana ✅ Nina uzoefu katika: Kutengeneza Websites (E-commerce, Blogs...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Unatafuta Programu (Application au Website)? Njoo Tuyajenge!

    Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2 mpaka week mbili ikiwa ngumu sana ✅ Nina uzoefu katika: Kutengeneza Websites (E-commerce, Blogs...
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiswahili na misamiati yake

    Nilikua nacheza game moja hivi linaitwa #swahiliwordcross, nimefanikiwa kutoka na haya maneno machache nikaona ngoja nilete huku tuendelee kuchambua Kiswahili kwa njia zote. VIJULANA WENZANGU MSISAHAU KUPATA SHARUBATI NA UDOHOUDOHO SIKU MOJA MOJA. nimeounda sentensi hio, mwenye maana yake kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kiswahili ni Afrika Mashariki, Kiswahili ni Tanzania, Kiswahili ni Amani na Upendo

    kulicheza ni kwa kuunganisha herufi zilizo kweny mduara kupata neno jipya la Kiswahili. mfano hilo neno poa lililonekana kati hapo ni baada ya kuanza na herufi ya p nikafuata o nikamalizia na A. ukishikilia herufi moja bila kuachia ukafanya kama unachora mshale unaoelekea herufi nyingingine bila...
  5. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kiswahili ni Afrika Mashariki, Kiswahili ni Tanzania, Kiswahili ni Amani na Upendo

    Maelezo bora na yakueleweka sana nimeyapata kutokea kwa hili chapisho, honera sana mwandishi umenifumbua macho. Kiswahili kinazidi kua bora Zaidi maana pita pita zangu mjini playstore nimekutana na hii game inaitwa #swahiliwordcross nimetokea kuipenda kweli nikaona itafaa nishare na wanaforum...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kufungua sanduku la posta

    wana jf naomben msaada na maelekezo nitaweza je kufungu sanduku la posta?
Back
Top Bottom