Recent content by Tunutu kiwavi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

    utaambulia matusi tu CHADEMA hawana hoja tena
  2. T

    JamiiForums Tanzania Serikali inashindwa kucheza na akili za Mbowe tayari ameshaweka kwenye kona nyingine

    kwa hiyo mboye anataka tanzania isipate misaada ili watanzania wapate shida au sio?
  3. T

    JamiiForums Tanzania 2015 Tuliteseka kukipigania chama lakini leo tunaonekana wajinga. Hatutakubali

    wewe c wakwanza ndugu hata Dr slaa alifanywa vibaya zaidi ya wewe tna dakika za lala salama
  4. T

    JamiiForums Tanzania Korosho: Serikali inunue Korosho yote ya Wakulima kwa bei ya mwaka jana 2017

    Kama unatuamiminisha kuwa mwaka Jana bei ilikua juu kwa sababu ya solo LA dunia kuwA juu . kwanin Leo unataka kutuaminisha bei kushuka so kwa sababu ya soko LA dunia kushuka, ila kwa sababu ya export Levy kuchukuliwa na serikali,
  5. T

    JamiiForums Tanzania Madudu aliyoyafanya Kikwete na watu wake yataendelea kulitesa Taifa hili miaka mingi sana

    Sasa hapo tatizo ni chama au rais?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Madudu aliyoyafanya Kikwete na watu wake yataendelea kulitesa Taifa hili miaka mingi sana

    Sasa halo tatizo ni chama au rais?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Madudu aliyoyafanya Kikwete na watu wake yataendelea kulitesa Taifa hili miaka mingi sana

    Hili nalo halina ushaid kama LA lowasa kweny Richmond
  8. T

    JamiiForums Tanzania Madudu aliyoyafanya Kikwete na watu wake yataendelea kulitesa Taifa hili miaka mingi sana

    Hivi mtu mmoja anayweza kuwapiga bit wabunge wote (wanaccm) tatizo hapo ni rais au ccm. Unadhani hapo ccm ilamuru au raisi ndo aliamuru
  9. T

    JamiiForums Tanzania Madudu aliyoyafanya Kikwete na watu wake yataendelea kulitesa Taifa hili miaka mingi sana

    Ungekua umeweka takwimu ningekuelewa sana Ila vinginevyo una ugonjwa wa hasad yaan kumchukia mtu bila sababu za msingi
  10. T

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    kwan MO aliingiaje hadi hao wengine wasiweze
  11. T

    JamiiForums Tanzania Meya wa Manispaa ya Iringa kupitia CHADEMA: Niliahidiwa milioni 200 ili kuhamia CCM

    hawa ndo nyumbu bana ukiwambia lowasa fisad wanataka ushahid ila hili wanashabikia fasta bila hata ushaid, mtapata tabusana mwaka huu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni shujaa vita ya ufisadi nchini

    Hizi tuhuma kama zile za lowasa tu hazina uthibtsho
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nadhani ifike mahali tutafute maana halisi ya kiongozi hasa anayetokana na mfumo wa siasa

    Makala nzuri sana. Ila kos kubwa walilofanya upinzani ni kuua imani ya wanachama wao baada ya kumkubali lowasa ambaye ndio alioeonekana kamaadui no 1 enz hizo. mfano uislam hauwezi back salama kama pengo awe muislam na kuw shekh mkuu lazima iman za watu zitattreka kama ulivyosasa upinzan
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    vipaumbele vipi hivyo ambavyo serikali hii havijaguswa
Back
Top Bottom