Recent content by Tunu cardbean

  1. T

    Top 10 ya majeshi hatari duniani kwa sasa na bajeti zake!

    Ukweli kabisa sasa hv ni vita vya anga sanasanaa watu hawapambani nchi kavu tenaaa
  2. T

    Elimu ya fedha ikifundishwa mashuleni itaimarisha fikra za watanzania?

    Elimu ya fedha ikifundishwa mashuleni itaimarisha fikra za watanzania walio wengi? Je itafungua akili zao nakufanya waone fursa mbalimbali? Jibu ni ndiyo, elimu ya fedha ikifundishwa mashuleni na kuanzia kwenye ngazi ya familia itawafanya watu kuwa na uthubutu kwenye biashara na fursa...
  3. T

    SoC04 Nchi iliyobarikiwa ikithubutu

    Tanzania tuliyonayo ni nchi bora kama yafuatayo yangezingatiwa tangu watoto wakiwa wadogo 1. Ufundishwaji wa elimu ya fedha mashuleni ,hii ingesaidia kujua namna ya kuzingatia matumizi na kuangalia fursa zilizopo nakujua kuzitumia. 2. Uthubutu na kujiamini, kunatakiwa kupaliliwa kuanzia ngazi...
Back
Top Bottom