Recent content by TUNE

  1. T

    Hivi ukigundua mumeo anaku-cheat na inajulikana public, utafanyaje?

    biblia haikumaanisha kwamba mwanaume acheat na mwanamke avumilie tu akubaliane ha hiyo hali kisa ataitwa mjinga amevunja ndoa yake kwa uzinzi wa mumewe no no no mnatafsiri biblia ndivyo sivyo
  2. T

  3. T

    Hivi ukigundua mumeo anaku-cheat na inajulikana public, utafanyaje?

    kwa hiyo tuko unataka kutuambia mwanaume anaecheat ndio anajenga nyumba yake au anaibomoa au unamaanisha nini??? Au huo usemi ndio unataka tuvumilie ujinga sababu utaambiwa "mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe??? Mi naona huo ni usemi tu hauna maana yoyote na...
  4. T

    Hivi ukigundua mumeo anaku-cheat na inajulikana public, utafanyaje?

    utafanya nini na ameshaamua???? na mpaka amefikia kuweka wazi in public inamaana amemuona huyo ni bora zaidi. huna cha kufanya na mapenzi hayalazimishwi chukua hamsini zako. unatakiwa kujiuliza alichokosa kwako nini mpaka ameamua kwenda kwa mwingine tena ameweka wazi ujue hakutaki tena hata kama...
  5. T

    Raha ya ndoa NI NINI?

    nimeipenda hii
Back
Top Bottom