Hapa hakuna hoja uliyojenga nachoona hapa hauko huru kupokea hoja tofaut na kile unacho fikir hata kama huna hoja yyt ya maana
Mm mpaka SASA sjaona MTU yyt alieweza kutoa majibu ya kuthibitisha juu ya kutokuwepo kwa mungu
Ili hoja zenu ziwe na nguvu bas ni vema mukaleta majibu juu ya kauli...
Nimejaribu kufuatilia hoja za mtoa mada pamoja na wachangiaji wengine. hoja hii ya mtoa Mada inawapoteza watu wengi wenye uvivu wa kufikir inashangaza sana MTU anajenga hoja het kama mungu yupo yy katokea wapi au kaumbwa na nan. hapa wanakusudia kama hatuna majibu ya maswali haya maana YAKE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.