Recent content by Tuna nyanyasika

  1. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaompokea Rais Samia huko Manyara wametokea Dar es Salaam?

    Steve nyerere ni nan huko chamani??
  2. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania TANESCO ndiyo wenye nguvu za giza

    Unataka kusema wana nguvu za kishetani [emoji23][emoji23]
  3. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais kuzuia magari mengine kwa muda fulani mpaka apite na Ulaya ipo hivyo?

    Wakuu poleni na kujenga nchi, asee tupo Singida hapa tumetoka Kanda ya Ziwa huko tunatafuta lisaa sasa kupisha msafara wa mtu mkubwa. Vipi hii hali ni haki? Si binadamu wote ni sawa? Si kila mtu ana haki sawa kwenye hii nchi? Hivi na wenzetu huko abroad wana haya mambo? Hii inauuma sana...
  4. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Vigogo na Watoto wa Vigogo wana mitaji lakini mbona hawajiajiri?

    Mkuu hawa wana jiajiri na bado wako kwenye hizo nafasi nyeti.. Kwa ufupi wanapiga zote zote kujiajir na kuajiriwa
  5. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Siku ya kuadhimisha unafiki wa viongozi

    Naunga mkono hoja hii
  6. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Pesa za kujikimu za watumishi ajira mpya june 2023

    Hakuna shidaa
  7. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Pesa za kujikimu za watumishi ajira mpya june 2023

    Wanajua ,lakini je wafanye nn? Kwa hiyo halmashauri wanaolipa chini shida nn? Hawana pesa ?
  8. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Pesa za kujikimu za watumishi ajira mpya june 2023

    Lakini je ndivyo wanavyolipa kutokana na hilo pdf? Au ni document tuu
  9. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Pesa za kujikimu za watumishi ajira mpya june 2023

    Kila mahali pametoboka ani
  10. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Pesa za kujikimu za watumishi ajira mpya june 2023

    Mbona wanadai zinatoka serikali kuu??
  11. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Pesa za kujikimu za watumishi ajira mpya june 2023

    Serikali ifanyie kazi hili, vijana wananza ajira mpya na mdeni sana maeneo ya ugenini, kama haiiwezekan basi serikal iwapangiee vijana sehemu wanazoomba mana huko wana uhakika wa kesho yao
  12. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Pesa za kujikimu za watumishi ajira mpya june 2023

    Mana kuna vijana wanalipwa chini sanaa
  13. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Pesa za kujikimu za watumishi ajira mpya june 2023

    Hawa wakurugenzi wanapata wapi kiburi kutolipa mwezi wa nne huu vijana wanenda kama serikali kuu haijui hil? Kwani hizi pesa zinatoka halmashaur au serikal kui
Back
Top Bottom