Recent content by tumiakichwa

  1. T

    Bunge la Katiba Kuahirishwa Wiki Mbili zijazo, Theluthi Mbili zakwamisha Ibara ya kwanza ya Katiba

    kati ya wewe na huyo kibo10 nani anakunya vipande vipande? kwel wew hamnazo
  2. T

    Mahojiano ya sauti ya Ujeruman na wanasiasa wa Tanzania waliopo Bunge la Katiba

    umeambiwa said mkumba ndiye aliyeshindwa,we wa wapi?
  3. T

    Wapigao kelele wakikaribia kufika kileleni

    hahahahahaha kwel hii forum kiboko
  4. T

    Nawaomba radhi niliowakwaza, CHADEMA ni chama sahihi kwa Watanzania

    nani anayasababisha hayo matatzo?
  5. T

    Jamani hili tatizo linanisumbua

    siwez kuwa mkaidi wa kuelewa kwamba haya mambo yanahitaj uzoefu na si wote wenye uzoefu,na ndio maana nimekuja hapa jukwaan mana humu kuna elmu ya kutosha sana.
  6. T

    Jamani hili tatizo linanisumbua

    hii ya haraka haraka siipingi sana mkuu.
  7. T

    Jamani hili tatizo linanisumbua

    kwanza huwa hapend hata kupewa vitu na ndio maana kabla ya kupata hisia ya kumpa chochote huwa najaribu sana kupata feedback ya kile ninachokusudia kumpa kama yuko willing au la
  8. T

    Jamani hili tatizo linanisumbua

    mkuu 360 wote hawa,huyo unayetaka kumuoa utaridhka naye kweli si ndo mwanzo wa mtandao huo
  9. T

    Jamani hili tatizo linanisumbua

    ni kwel msweet nakubal si kila unapopenda na yey akupend lakn bint mwenye hisia anafahamika,mfano huyu bint ktk maongez naye alweza kunijibu "sawa" pale nlpoendelea kumwambia nakupenda,sas nlpotaka kufaham zaid muitikio wa sawa kwa maana gan negative au positive akasema yeye hajui cha positive...
  10. T

    Jamani hili tatizo linanisumbua

    ahsante charty!
  11. T

    Jamani hili tatizo linanisumbua

    shda ya huyu ni kwamba hapend kunipa nafas ya kukutana ana kwa ana ndpo inapokuwa problem na huwa anajibu kwa maringo na mashauzi sana.
  12. T

    Jamani hili tatizo linanisumbua

    wengne ni kula kuku kwa mrija tu mkuu!
Back
Top Bottom