Recent content by Tume Haki Binadamu(THBUB)

  1. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za makamishna

    TANGAZO LA NAFASI ZA MAKAMISHNA
  2. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tamko la Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili dhidi ya Wazee Juni 15, 2025

    THBUB inaungama na Wadau wote katika kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani. Tamko la Tume Haki Binadamu (THBUB) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wazee Juni 15, 2025 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote katika kuadhimisha Siku ya Wazee...
  3. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA

    Toa taarifa kuhusu uvunjivu wa haki za binadamu
  4. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Unajua kama raia una wajibu kwenye ulinzi wa uhuru, mamlaka na umoja wa Taifa? Timiza nafasi yako

    Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi. Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
  5. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tamko la Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) kuhusu matukio yanayohusiana na uvunjifu wa Haki za Binadamu yaliyotokea karibuni

    Katika kipindi cha takriban mwezi mmoja na nusu, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imekuwa ikifuatilia kwa karibu matukio mbali mbali ambayo yamekuwa yakijitokeza nchini. THBUB baada ya kufanya tathmini kuhusu matukio hayo kwa mujibu wa Katiba na Sheria ya THBUB, imejiridhisha...
  6. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tamko la tume ya haki za binadamu na utawala bora maadhimisho ya siku ya wafanyakazi

    Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,THBUB yatoa tamko Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025 Tarehe 1 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Maadhimisho...
  7. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB yafanya ukaguzi kiwanda cha KEDS Tanzania Company LTD kujiridhisha na uzingatiwaji wa Haki za Binadamu

    Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
  8. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoa elimu kwa wakazi na wanafunzi Iringa

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Vyuo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha...
  9. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB yapokea Malalamiko ya uvunjwaji wa haki na ukiukwaji ya misingi ya utawala bora Kigoma

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea malalamiko ya uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora kwa mkoa wa Kigoma. Malalamiko hayo yamewasilishwa na wananchi wakati wa Mkutano wa hadhara wenye lengo la kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya...
  10. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB kutoa elimu kuhusu Misingi ya Haki na Utawala Bora kwa wananchi Kigoma

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kigoma kwa lengo la kuwawezesha Wananchi kutambua haki zao na kudumisha Utawala unaozingatia haki za...
  11. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Salamu za Pongezi kwa Rais Samia kupokea Tuzo ya The Global Goalkeeper Award

    Kufahamu zaidi kuhusu tuzo hiyo ingia hapa: Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
  12. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tume ya haki za binadamu na utawala bora (THBUB) yalaani vikali mauaji ya Jumanne Juma aliyechomwa kwa mafuta Kimara

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tamko la THBUB kulaani mauaji ya Bw. Jumanne Juma Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Jumanne Juma (28), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Kimara B, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam aliyeuawa kwa...
  13. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB kuendelea kutumia njia mbalimbalimkuifikia Jamiii

    Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Khamis amesema Tume inaendelea kutuma njia mbalimbali za kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora ili wananchi waweze kutambua haki na wajibu wao. Hayo alisema Januari 23, 2025 wakati akitoa elimu...
  14. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti THBUB: Hali ya haki za binadamu nchini inaendelea kuimarika kutokana na uelewa wa watu kuongezeka

    Akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Salmin Amour iliyopo katika Manispaa ya Singida hivi karibuni Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Mohamed Khamis Hamad, alisema, hii ni kutokana na watu kuwa na uelewa wa kuibua masuala ya uvunjifu wa haki za...
  15. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) yachunguza mauaji ya vifo vya Watu wawili vilivyotokea Pemba

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba. THBUB imeeleza imepokea kwa masikitiko makubwa vifo vya Nd. Athuman Hamad Athuman na Amour Khamis Salim, waliokuwa wakaazi wa kijiji cha Kiungoni, Wete...
Back
Top Bottom