Recent content by Tumaini Makene

  1. Tumaini Makene

    The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    Kwa kweli katika eneo la audio books na podcast, nimekubali kuwa mshamba. Vinanishinda 😁. Napenda nishike kitu mkononi. Utanifundisha mpiganaji. Nijifunze nami pia.
  2. Tumaini Makene

    The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    Senior, nisipokusoma hapa JF, huwa najisikia kupunjika siku hiyo. The art of presentation sasa…dah 🙌! Hata kama mengine nakuwa na reservations nayo, lakini nasoma najifunza vitu. Asante Chief.
  3. Tumaini Makene

    The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    Kwa kweli katika eneo la audio books na podcast, nimekubali kuwa mshamba. Vinanishinda 😁. Napenda nishike kitu mkononi.
  4. Tumaini Makene

    The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    Ofcourse hata na wewe pia nimekuelewa. Watu waliojifunza kuwa positive kwenye negativity, walihesabika kuwa watu wenye busara na hekima.
  5. Tumaini Makene

    The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    Asante sana kwa pendekezo hili.
  6. Tumaini Makene

    The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    Asante mpiganaji. Unaweza kunisaidia kuvipata? Nitajitahidi kukipata na kuanza na hicho namba 3.
  7. Tumaini Makene

    The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    Mkuu nimeichukua hiyo. Bila ubishi kabisa. Nimekuwa nikimsikiliza sana kwenye zile clips zake za YouTube of recently. Nina mengi ya kujifunza huku nikiongeza maswali kuhusu misimamo na tafiti zake.
  8. Tumaini Makene

    The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    The – book – I – Read, 2024 Ni wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka, tunapoelekea kuhitimisha mwaka 2024, na kuimba ule wimbo maarufu wa “Auld Lang Syne, tukimaanisha ‘For the Sake of Old (good) Days,’ ikiwa ni ishara ya kuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine (au kusheherekea...
  9. Tumaini Makene

    Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

    Umeweka vizuri. Sijawahi kuelewa kwanini kuna watu wanahoji au wanatamani ulinzi wa rais uwe mdogo au mwepesi. Huwa sielewi hasa malengo ya fikra hizo kwa kweli.
  10. Tumaini Makene

    Wakati tukikaribia kuitangazia dunia, What is Tanzania: The Royal Tour?

    Nimekusogezea kabisa hapa [emoji116] “The U.S. market debut, which targets primary and secondary market sources (USA, UK, Germany, Italy, France and Spain, Netherland, Canada and Australia respectively) will be followed by two other similar launch events in Dar es Salaam (April 28) and Zanzibar...
  11. Tumaini Makene

    Wakati tukikaribia kuitangazia dunia, What is Tanzania: The Royal Tour?

    Mkubwa maliedo usiuzike. JF ni sehemu ya kujielimisha kwa maarifa na taarifa. Ukisoma vizuri hapo kwenye para ya pili nimejaribu kueleza kwa kadri ya uelewa wangu, kwanini inazinduliwa (kwanza) US (New York na Los Angeles). It’s all about business mindsets mkubwa. Soma first and second lines na...
  12. Tumaini Makene

    Wakati tukikaribia kuitangazia dunia, What is Tanzania: The Royal Tour?

    Asante Kamaradi. Obligado camarada, gracias camarada. Siempre para jamás, for ever and ever United Republic of Tanzania, the land of Zanzibar, Kilimanjaro and Serengeti.
  13. Tumaini Makene

    Wakati tukikaribia kuitangazia dunia, What is Tanzania: The Royal Tour?

    Chief Pascal Mayalla, napokea hayo kuwa ni compliments kutoka kwa kaka mkubwa na senior. Asante. Kila mwenye kuweza kusogeza mchanga au jiwe au hiki au kile, afanye hivyo, tujenge ustawi wa JMT ambayo ni moja tu!
  14. Tumaini Makene

    Wakati tukikaribia kuitangazia dunia, What is Tanzania: The Royal Tour?

    Asante mkubwa. Pamoja. Kabisa. Umenena kitume, kwa ajili ya taifa na nchi yetu. Kuna Jamhuri ya Muungano wa Tanzania moja tu. Tunao wajibu wa kutimiza.
Back
Top Bottom