Mimi ni mkazi wa Kigamboni,km wiki 3 zilizopita kulitokea la uvunjaji nyumbani kwangu,na kuibiwa baadhi ya vitu,nilitoa taarifa kituo cha polisi Kigamboni.Kwa gharama zangu nilikodi gari kwa ajili ya kufanya msako kuwapata wahalifu wa tukio hilo.Tulibahatika kuwakamata watuhumiwa watatu(3)kati...