Hii ni laana tena Kali na aliyetulaani ametuumiza kweli kweli.
Yaani Mwenyekit wetu Tundu Lissu yupo ndani anaumizwa makusudi lakini ndio Kwanza hata hatujui tufanye nini, ulaya wamejaribu kutusaidia ni kama ndio wanachochea usingizi mzito. Mange anasema na kusema ndio Kwanza tunazidi kulala...
Angalau viongozi wa dini wameanza kuwa wakweli na wameanza kuwaheshim waumini wao hii kuonyesha kwamba angalau Kuna mabadiliko makubwa kwenye jamii yetu.
Naamini huu ni mwanzo tu huko mbele najua hii hali itakuwa kubwa sana.
Hili Taifa tuna haki ya kulisaidia na viongozi wa dini huu ni wajibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.