Recent content by TULAFUZILWE

  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Hahahahahaa JF kuna mambo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Hahahahahaa JF kuna mambo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Hahahahahaa JF kuna mambo
  4. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2015: Baadhi ya kauli za wagombea Urais za kuchekesha na kukumbukwa

    Lowassa: haya si mapenzi...ni mahaba. Rungwe:Helkopta zitakuwa zinamwagilia maji hapa.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mkuu angalia kwny topic wameshasema jimbo la Kawe Mdee kashinda kwa 99%
  6. T

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hongera Prof J nimefurahi hiyo ni zaidi ya 'Zali La Mentali'.Kila la kheri kuelekea mjengoni.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Shule za Kikatoliki za A-level

    Nyegezi seminary
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: waliochaguliwa ualimu ngazi ya cheti 2014/2015

    Wakuu naombeni kujua kama majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu ngazi ya cheti 2014/2015 yameshatoka. Kwa yeyote mwenye tetesi please anijuze.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ku-log in profile ya TCU

    Jamani naomben kujua tatizo la kufail kulogin kwenye login form ya TCU linatokana na nini maana najarib kulogin lakin inafail.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la ku-login kwenye profile ya TCU

    Jamani naomben kujua tatizo la kufail kulogin kwenye login form ya TCU linatokana na nini maana najarib kulogin lakin inafail.
  11. T

    JamiiForums Tanzania fluid mechanics ya engineering

    Mkuu Slab, tupia email yako nikutumie sasa hivi.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hii nayo kali

    Haaah! Haaa! Mbavu zangu jamani!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya compendium udom ni balaa, walimu wanatuibia wanafunzi

    Uwe unafikiri kwanza kabla hujapost thread kama hizo, anyway ndo oriantation course nadhan umejifunza cku nyingine wakikufaham watakubebesha mpaka utie adabu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania natafuta rafiki wa kiume ambaye badae atakuwa mchumba na hatimae niolewe naye

    kwenye kigezo cha ajira ndo noma.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je Shuke yako ya Msingi Uliyosoma Imekuwa ya Ngapi Kitaifa Kati ya Shule 15656 Mwaka Huu 2013

    NYARUGUSU PRIMARY SCHOOL - P2404135 WALIOFANYA MTIHANI : 133 WASTANI WA SHULE : 108.1955 NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 41 kati ya 163 NAFASI YA SHULE KIMKOA : 195 kati ya 549 NAFASI YA SHULE KITAIFA : 5360 kati ya 15656
Back
Top Bottom