Recent content by Tukwa1

  1. Tukwa1

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Pole asee , mm nakumbuka ilinitoka wakt niko Mdogo. Ilisababishwa na kula sna nyama za mafuta..ila nilitibiwa na miti shamba sikumuliza mzee ngoja nitamuuliza ni miti gani...ila kwasasa kamuone doctor.
  2. Tukwa1

    Rais Magufuli, naomba utoe msamaha kwa ndugu George Paul

    Yani hii Mkuu wa wilaya, Mkuu wa mkoa hawawezi kulitatua hadi limfikie mh pombe? Mm ningekuomba mkuu wwe livalie njuga fika office ya Mkuu wa wilaya mueleze hili kama nae ataendelea kung'aa macho atumbuliwe haaaa, sipendi uthithiemu mm.
  3. Tukwa1

    Walioitwa Majipu kulipwa Tsh. Bilioni 2.2

    Hapa nikutoa kulia kuleta kushoto. "" Ati wapiga dili wajiandae kukosa pesa Mifukoni""
  4. Tukwa1

    Hii ni kwa wasichana magoigoi/vilaza

    Imepenya hii
  5. Tukwa1

    Wanawake kama ndio mnadanganyana hivi kututeka wanaume mwenzenu nimeng'oa meno

    Hahahahaaa, kulikuwa kumefunguka yani likaingia kabisa,,, chubwiiii
  6. Tukwa1

    Umri mzuri wa kuwa na familia kwa kijana wa kiume..

    nakataa tumeona wazazi wetu wametulea hata kwa kulalia kipanda kimojakimoja cha viazi vitamu lkn tumekua na tupo hadi leo,,,,,
  7. Tukwa1

    Umri mzuri wa kuwa na familia kwa kijana wa kiume..

    kweli pesa imeshika kila kitu naona kila mmoja kaigusia pesa,lahasha kwa mimi naona umri mzuri kwa kijna ni kuanzia umri wa miaka 25 kwenda juu, hapo ni wazi kabisa utaona mwili ukihitaji kabisa kuwa na mwenza haijalishi hata kma hatuna pesa tunaweza kuzitafuta tukiwa wawili.
  8. Tukwa1

    Wadada ambao hawajaolewa halafu umri umewakimbia, kaa nao mbali kama huna mpango nao

    ASEEE MNIPE POLE KAMA SI HONGERA MM KANISHIKA NA SASA TAYARI ANAYOMIMBA ANADAI NI YANGU YA MIEZI 4. SASA SITAKUA HATARI KWA MKE NITAKAEOA BADAE NIKITAKA KUOA?
  9. Tukwa1

    Nimeoa lakini namuota x wangu kila mara, nifanyeje?

    UMEWEZAJE KUOA BINT MWINGINE NA SIO YEYE? BABU BILA KUCHUKUA HATUA HUO NI MWIBA UTAKAOKUPELEKEA NDO YENU KUVUMJIKA. CHAMSINGI SASA KUBARIANA NA ANAYOKUPA MKEO SAHAU KABISA YOTE ULIOTENDA NAE HUYO X WAKO, NA SASA HUYO SI WAKO TENA WAACHIA WASIOA WAENDELEE KUBULUZA.
  10. Tukwa1

    Ukweli kuhusu mwanamke na mwanaume

    TUWE NA MIOYO YA KUTOSHEKA JAMANI, UNAWEZA KUMALIZA DUNIA LAKINI USITOSHEKA LAKINI TUKIJIFUNZA KUPUUZIA VYOTE TUTAVIONA SAWA TU, KWANI NYEUPE NA NYEUSI UTAMU SI ULE ULE TU?
  11. Tukwa1

    Ukweli kuhusu mwanamke na mwanaume

    hakuna mnyama aliepewa upeo tuliopewa binadamu,ila kikubwa tutosheke na wapenzi wetu jaamani. utakalo kula kwa ASHA ni sawa na utakachokula kwa MWAJUMA.
  12. Tukwa1

    Maalim Seif Shariff Hamad alivyomsaliti Alhajj Aboud Jumbe

    sisi vijna wa leo hatujui haya kumbe kuna mambo mengi yaliojificha kw jumbe..
  13. Tukwa1

    Maalim Seif Shariff Hamad alivyomsaliti Alhajj Aboud Jumbe

    eeee bwana weee! kumbe jumbe ndoo mwasisis wa serikali 3 very good
Back
Top Bottom