Recent content by TUKUTUKU

 1. TUKUTUKU

  Ya Musiba na gazeti la Kangura na radio RTML huko Rwanda 1990

  Mh! Huu ndiyo ubishi wa kijinga, unaposema Rwanda hapakuwa na chama kilichoitwa Mbona unabisha bila hoja? Soma historia ya Rwanda upate ABC badala ya kubisha kama zuzu! Kwani chama tawala cha Rwanda kabla ya Genocide ya mwaka 1994 kilikuwa kinaitwaje? MRND ( in france language 'Mouvement...
 2. TUKUTUKU

  Dr. Kigwangalla: Watu wetu wakivuka kwenda kuvua samaki wanauawa, Sasa wakao Wakivuka tutajua cha kufanya

  Sioni busara ya kiongozi! Ugomvi wa Nchi na Nchi hauwezi kuwa kama ugomvi wa mtaani!
 3. TUKUTUKU

  Nabii wa Afrika Kusini Atabiri kifo kwa kiongozi wa kisiasa Tanzania

  Ni sawa Mkuu, ingawa mimi nilisikia tofauti kidogo, kwenye nani ataanza kufa!
 4. TUKUTUKU

  Nabii wa Afrika Kusini Atabiri kifo kwa kiongozi wa kisiasa Tanzania

  Atakufa au atauwawa? Akifa au akiuwawa then what? Mbona utabiri ulikuwa haujajitosheleza? Au mnashindwa kuuelezea vizuri?
 5. TUKUTUKU

  Nabii wa Afrika Kusini Atabiri kifo kwa kiongozi wa kisiasa Tanzania

  Toa maelezo ya kutosha tukuelewe Mkuu!
 6. TUKUTUKU

  Rais Dkt. Magufuli awasili mkoani Dodoma

  Teh teh teh!Habari za Burundi mkuu?vipi amani imerejea huko?
 7. TUKUTUKU

  Kwa ulinzi huu, Magufuli yupo salama kabisa

  Mkuu hauko sahihi, Ariel Sharon hakuuwawa,alikaa miaka minane hospitali bila kujitambua, alifariki 11/01/2014. Waziri Mkuu aliyeuwawa alikuwa anaitwa Yitzhak Rabin, aliuwawa tarehe 04/11/1995. Aliuwawa na kijana anayeitwa Yigal Amir.
 8. TUKUTUKU

  Suzani Kiwanga: Mbunge wa Kishapu sio raia wa Tanzania

  Mkuu Kiwanga siyo Mbunge wa Viti Maalum,huyu ni Mbunge wa Jimbo la Mlimba lililopo katika Mkoa wa Morogoro! Wakati mwingine muwe mnajaribu kupunguza u ngese wenu!
 9. TUKUTUKU

  Kubomoa Naura Spring Hotel ni komoakomoa sio bomoabomoa

  Teh teh teh!Kitu muhimu kinachoangaliwa katika kutafsiri sheria ni lengo la kutungwa kwa sheria husika, ukitafsiri sheria kama juha unaweza kujikuta hufikii malengo ya sheria husika. Je unajua lengo la kuondoa shughuli za kibinadamu ndani ya mita sitini kutoka mtoni? Je sheria hii ipo applicable...
 10. TUKUTUKU

  Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

  *Hata kama hakuna kiongozi wa Africa aliyetenda mazuri kama yeye lakini ukweli unabaki palepale, ni kweli aliwatendea watu wake mazuri, lakini pia alifuja rasilimali za nchi. *Nyerere kwa aliyoyafanya kuhusiana na Biafra na alichokifanya Gadafi kwenye vita ya Tanzania na Uganda, hawa wote wawili...
 11. TUKUTUKU

  Kubomoa Naura Spring Hotel ni komoakomoa sio bomoabomoa

  Costs/ benefits analysis ndiyo inafaa itumike, vinginevyo itakuwa nchi ya majuha
 12. TUKUTUKU

  Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

  Teh teh teh!hakuna binadamu ambaye hana CV,labda hujui nini maana ya CV!
 13. TUKUTUKU

  Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

  Mkuu soma kwa makini nichoandika,wapi nimesema alikuwa Gaidi? Mh!Kweli JF inawatu wa ajabu!
 14. TUKUTUKU

  Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

  Mkuu! mimi nimepangilia hoja zangu vizuri,nimemkosoa gadafi katika maeneo manne,kipi kati ya hivyo nilivyovielezea hakiko sahihi? *Libya ilikuwa na katiba iliyoruhusu demokrasia? *Gadafi na familia yake hawakujilimbikizia mali? *Gadafi hakuwa upande wa Uganda wakati wa vita vya Tanzania na...
 15. TUKUTUKU

  Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

  Naona kwa mbali kama picha ya Osama Bin Laden na Murah Omar!
Top Bottom