Recent content by Tukundane

  1. Tukundane

    Biharamulo kuwa kituo kikuu cha kampeni za CCM mkoa wa Kagera

    Watu wa Biharamulo musisahau kumukumbusha Nchimbi salamu za polepole.
  2. Tukundane

    Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

    Hakuna mtu anayepinga Kikwete kulitumikia taifa kama rais mstaafu kinachopingwa ni uharamia wanaoufanya kama kumpitisha Samia juu kwa juu kuwa mgombea wakati hakusitahili.
  3. Tukundane

    Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    Unamtoaje huyu kwenye shambulio la kutaka kumuua Lissu wakati mazingira yote yanaonyesha kuwa yeye ndiye muhusika namba moja kutokana na vitendo alivyomfanyia Lissu?. Alikataa kugharamia matibabu ya Lissu ili Lissu afe,alimvua ubunge,alikataa kumulipa haki zake,JPM alitakiwa ajinasue mwenyewe...
  4. Tukundane

    Iran wakiri kutumia makombora ya zamani kwenye vita vya siku 12 na Israel

    Hoja yangu hapo ni kwamba kama makombora ya Iran yaliweza kupenya safu 4 za ulinzi wa silaha za kisasa za Israel je kati ya Iran na Israel ni nina aliyetumia silaha za kisasa zaidi? Hivi kwa akili yako unaamini kabisa makombora ya Iran yaliyotumika yalikuwa ya zamani na bado yakazishinda silaha...
  5. Tukundane

    Iran wakiri kutumia makombora ya zamani kwenye vita vya siku 12 na Israel

    Ni kweli katumia silaha za kisasa,lakini kuna ushahidi wowote unaothibisha umilikaji wa silaha za kisasa kwa Israel ndio hizohizo au ana miliki silaha za kisasa zaidi ya hizo?na kwa upande wa madai ya Iran kuwa makombora waliotumia ni ya kizamani kuna ushahidi wowote unaothibitisha kuwa...
  6. Tukundane

    Chadema na wafuasi wake Wanamisimamo ya kitoto

    Heche na CHADEMA ni kawaida yao kukemea maovu ya serekali ya CCM na wanapoikosoa wanatekwa na kuuawa,ulitakiwa ushangae Polepole ambaye ameshindwa kuvumilia maovu ya CCM na kuungana na Heche na CHADEMA kukemea maovu ya CCM na serekali yake.
  7. Tukundane

    Iran wakiri kutumia makombora ya zamani kwenye vita vya siku 12 na Israel

    Mahali ilipofikia Iran ni kweli inaweza ikawa nazo na kama haina inauwezo wa kununua au ikasaidiwa na washirika wenzake kama Russia lakini kwa sasa hakuna ushahidi unaothibitisha kuwa Iran inamiliki silaha hizo kinachoelezwa ni kwamba urutubishaji wa madini wa Iran unaelekea kiwango cha kufikia...
  8. Tukundane

    Uteuzi wa Dk Asha Rose-Migiro, Kenani Kihongosi ni wa Kimkakati huenda wakatenguliwa baada ya malengo kutimia

    CCM haisafishiki hata kama watamchagua malaika naye atakuwa takataka kama chama chenyewe.
  9. Tukundane

    Uteuzi wa Dk Asha Rose-Migiro, Kenani Kihongosi ni wa Kimkakati huenda wakatenguliwa baada ya malengo kutimia

    Wapo watakaopiga kura kwa sababu kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.
  10. Tukundane

    Anachokifanya polepole ni kuvivua nguo vyombo vya ulinzi na usalama TZ siyo CÇM hata Raisi hayupo salama chini ya wanamtandao.

    Hakuna usalama wa Taifa kuna usalama wa Samia na CCM,wananchi ni kama kondoo waliokosa mchungaji wao ni wakuliwa tu.
  11. Tukundane

    Iran wakiri kutumia makombora ya zamani kwenye vita vya siku 12 na Israel

    Aliyeombwa poo angekuwa hakuathirika angekataa kukubali poo ya muomba poo.
  12. Tukundane

    Iran wakiri kutumia makombora ya zamani kwenye vita vya siku 12 na Israel

    Propaganda za vita ni hatari tupu, si ajabu ukawasikia Iran kuwa wanasilaha za kumpiga Mungu,wamesahau kuwa mwenzao wanayemtishia ana miliki vichwa 90 za silaha za nuclear na huwezi ukasikia ana jitamba kuwa ana miliki silaha kama hizo.
  13. Tukundane

    Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Huyu mvaa makorokoro hajui kuwa mulinda usalama wa nchi na raia wake no1 ni Rais?.
Back
Top Bottom