Chezea sembe wewe, huenda dogo kavusha viroba inabidi akampe promo, Liinchi limelaaniwa kila kukicha drugs, halafu mshikaji anasema anayo majina anamezea, Si huyuhuyu watu wanasema eti kipenzi wake wa kumzaa alitaka kunyongwa huko kwa wenyewe,then kipande cha nchi kikauzwa kwa mikataba 19 ya...