Watanzania 11 walikamatwa na dawa za kulevya Hong Kong mwezi April na Mei 2014

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Idadi ya Watanzania waliokamatwa na dawa za kulevya nchini Hong Kong imeongezeka maradufu kutoka Mtanzania mmoja kati ya Augusti 3, 2013 na April 1, 2014 na kufikia Watanzania 11 kati ya April 2 na mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu. Hii ni kwa mujibu wa father Fr John Wotherspoon ambaye ni padri kwenye magereza huko Hong Kong na pia member wa Jamii Forums.

Orodha ya Watanzania waliokamatwa kati ya April na Mei mwaka huu ni kama ifuatavyo.

  • Mwanzoni mwa mwezi wa Aprili mwanamke wa Kitanzania alikamatwa na dawa za kulevya Hong Kong mwaka mmoja tuu baada ya mpwa wake wa kike kukamamtwa za dawa za kulevya huko huko Hong Kong.
  • April 7 alikamatwa mwanaume wa Kitanzania
  • April 12 alikamatwa mwanaume wa Kitanzania.
  • April 17 alikamatwa mwanamke wa Kitanzania.
  • April 26 alikamatwa mwanaume wa Kitanzania.
  • April 26 tena alikamatwa mwanamke wa Kitanzania.
  • Mwishoni mwa mwezi April alikamatwa mwanaume wa Kitanzania.
  • Mei 10 alikamatwa mwanaume wa Kitanzania.
  • Kuanzia Mei 20 walikamatwa Watanzania watatu.
Aidha katika kipindi hicho hicho jumla ya Waganda wawili, Wanaigeria wawili na Mkenya mmoja walikamatwa na dawa za kulebya huko Hong Kong.

Since April 1, 2014, more African mules have been arrested at HK airport:
- a woman from Kenya (April 1)
- a woman from Tanzania (early April ....her niece arrested one year before, but she still came)
- two men from Tanzania (April 7 and April 12)
- a woman from Tanzania (April 17)
- a woman from Uganda (about April 18)
- a man from Uganda (April 24)
- a man from Tanzania (April 26)
- a woman from Tanzania (April 26)
- two women from Tanzania (late April)
- a man from Tanzania (May 10)
- a man from Africa (c. May 19)
- SINCE ABOUT MAY 20: FIVE NEW AFRICANS, THREE FROM TANZANIA, TWO FROM NIGERIA. THIS IS VERY SAD NEWS. I'LL TRY TO PUT MORE DETAILS HERE ABOUT EACH CASE IN THE NEXT WEEK OR SO

Chanzo: Tanzania File 2013-2014
 
wakamatwe tu maana kila siku wanaambiwa hawaskii. Wagharimie kupenda kwao utajiri wa shortcut
 
WENGINE HAO HAPO,BONYEZA LIKE UTAWAPATA
http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/dawa-za-kulevya-china-ni-shaba-tu-kwa.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_16.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_17.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/masogange-amtaja-kigogo-wa-dawa-za.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_19.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/ndugu-zangu-watanzania-wameendelea.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/how-drug-trafficking-tainted-tanzanias.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/another-drug-mule-arrested.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/narcotics-trafficker-dragged-in-dar.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/radical-measures-needed-to-tackle.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_21.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_23.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_26.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_29.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_30.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/zaidi-ya-kilo-200-za-dawa-za-kulevya.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/raia-12-wa-iran-pakistan-kortini-kwa.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_9.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_12.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/meli-iliyonaswa-na-unga.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-dawa-za-kulevya-14.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/bilionea-anaswa-kwa-unga-dar.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/hizi-ndizo-barua-zilizomtaja-shikuba.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_11.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/vigogo-watatu-wadaiwa-kupigwa-ban.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/waziri-ataka-masogange-akamatwe.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_13.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_17.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_18.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-ya-wafungwa-wa-dawa-za-kulevya.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/vigogo-wa-dawa-za-kulevya-barua-ya-wazi_21.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/china-haitawanyonga-watanzania-15.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/04/watatu-wakamatwa-na-bangi-kwenye-basi.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/04/jk-sitaki-tena-kusikia-dawa-za-kulevya.html
 
Back
Top Bottom