Mapenz ndivyo yalivyo ndugu,ktu cha muhimu ni kukaa na mwenza wako na kutomuogopa na mweleze yale yako yanakusibu,kwa njia moja au nyingine utakuwa unauwezo fulani wa kudai haki yako na kulinda wenu upendo,uckate tamaa mapema ivyo kwa 7bu hata huyo mdada anayekupa ushauri mpaka unamsahau wako...
Ni kwamba hakuna maisha bora,wala kasi mpya kwenye taifa letu tz,kila kona majanga na watakuwaje na kumbukumbu wakati tayari wameshakalia vt,wadau na wanaharakat naomba ushirikiano wenu kuweka nchi yetu katika mlolongo ulio straigh kwan tz bila mafisadi inawezekana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.