Recent content by TUFFT

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    Ya naikumbuka hii i love korean dramas sana siku hizi huwa internet ndio mambo yote kuna kila aina za tamthilia hadi raha
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    acapulco bay, la mujer de la vida the promise tausi bishanga egoli vioja mahakamani mzee majuto, mzee small oshin passions perfect strangers (comedy) etc.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushuhuda kwa aliyewahi kutumia ebay

    Elektronik, Trends & Technik kaufen im Onlineshop von Media Markt hiyo link ni la duka very cheap in europe ipo berlin pia and then zipo karibu one mil stores mbali mbali za electronics. Inategemea unaenda lini na utashukia wapi lakini vile nijuavyo kwenye kila shopping centers kuna duka za...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushuhuda kwa aliyewahi kutumia ebay

    I meant that i have been to germany myself.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushuhuda kwa aliyewahi kutumia ebay

    Ebay ni very safe me huwa natumia sana pia kwa upande wa germany kuna very cheap Electronics na ni za good quality. I have to ujerumani myself
  6. T

    JamiiForums Tanzania mitsubishi canter

    natafuta canter ya tani 3 au 2 mwenye nalo anijulishe
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Hi guys natafuta Mitsubishi Canter ya tani 2 au 3 mwenye nalo ani pm asap
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi canter inahitajika

    hi wanajamii natafuta truck aina ya mitsubishi canter tani 3 nipo arusha kwa aliyenalo anijulishe thanks.
Back
Top Bottom