Recent content by tubalayya

  1. T

    Mchengerwa Ashinda Tuzo Ya Mbunge Bora Afrika Na Carribean

    Ushamba tu Tanzania! Pengine Mnigeria mmoja tu anayetaka mipango yake iende, kavumbua (tazama GPT). Tuzo hii imeanzishwa mwaka 2021 na hupewa zaidi wasanii na warembo wa mitindo. Tanzania waishapata Diamond, Harmonize na Nigeria Davido. Ni hao tu! Infact, Zikomo ambayo ni lugha ya Chichewa...
  2. T

    Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Haya banaaa mwuza nguruwe!
  3. T

    Jeshi la Tanzania na Marekani Wasaini Makubaliano ya Ushirika wa Kijeshi

    Kwa inakolelekea Tanzania namlaumu Kikwete. Huyu mtu mbaya sana kuwahi kutokea Tanzania. Ni yeye ndiye aliyefanya watu wasio na uwezo wa kiakili wala uzoefu, kufika kwenye madaraka makubwa, kwa kuwa tu alitaka aendelee kuwa ndiye mwenye kauli. Mpaka sasa kwa mara ya kwanza Tanzania twashuhudia...
  4. T

    Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Wee endelea kuabudu miungu baba, mama na kaka...ndipo ilipoishia akili yako. Kweli waweza ku intellectually debate hilo? Maweee!
  5. T

    PostGE2025 Siku ya 3 leo vita vya Iran vifo ni chini ya watu 600! Ndiyo mfahamu Oktoba 29, 2025 Tanzania kulikuwa uhalifu mkubwa mno

    Hizi takwimu usiziamini. ila ni kweli waliokufa TZ ni wengi mno. Duru fulani za kijasusi za Magaharibi wamesema ni 23,000!
  6. T

    Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Iran ina watu wenye akili sana nyie acheni tu. Nimesoma report ya vyombo vya kijasusi vya magharibi inasema, ili kombora la Iran lifike Israel linabidi lipite vipingaizi 27 vilivyowekwa na nchi za NATO na Marekani, licha ya vipingamizi vya Israel ndani ya nchi. Hawajui teknolojia wanayoitumia...
  7. T

    Hakuna namna. Ni vita tu!

    mid term
  8. T

    Hakuna namna. Ni vita tu!

    Kwa wanaofuatia kwa karibu, Rasi wa Marekani Donald Trump, kwa kweli hakuitaka hii vita dhidi ya Iran. Si kwa sababu ghafla amegeuka Baba Mtakatifu, la, bali timing si muwafaka kabisa kwake. Mwishoni mwa mwaka atatakiwa kwenye kura aonekane bado ana ushawishi, la sivyo atamaliza miaka miwili...
  9. T

    Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Ndiyo maana sishiriki. Mimi hupenda ukweli na facts badala ya bigotry za kipumbavu zenye mashiko ya kinachodhaniwa ni dini! Iran, hata baada ya miak 47 ya vikwazo vikali vya uchumi, bado mjeuri tRump anafikiri mara tatu....halafu mtu mmoja anasema nchi hiyo si chochote, Just imagine kama kwa...
  10. T

    Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na Tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10

    Nadhani Shillingi ya Uganda sawa na ya Bongo, au kesho tu.
  11. T

    Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Sikujibu. Wee ni katika wale mnaoitwa na Waisrael 'goya'! Zionists useful fools. Go figure it/
  12. T

    Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Basi hujui au ulikuwa mtoto. Tangu miaka ya 60 hadi mapinduzi ya Kiislamu Iran ilikuwa ya kwanza kupata ndege mpya za kivita za Marekani, kama ilivyo Israel hivi sasa, hata kabla ya allies wa karibu kama Uingereza, Ujerumani nk. Iran ilipata F 14, state of the art wakati huo, kabla ya mshenzi...
  13. T

    Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Ndiyo tyranny ya elimu mpachiko hii, haimpi mtu hekima! Hata kama tukikubaliana nawe kuwa uchumi wa Iran umesinyaa... ni kwa sababu gani? Kwani hujui Marekani inafanya kila kitu, hadi hata kumwekea vikwazo anayenunua kwa anayenunua bidhaa za Iran (three~tier sanctions: yaani kama wewe ukinunua...
  14. T

    Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na Tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10

    Lini Tanzania iliondoka kundi la masikini mlivyodanganywa? Mmeingia leo mkatoka kesho! Sasa tena hadi 2050.
Back
Top Bottom