Recent content by Tuangalie

  1. T

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mzee Mwanakijiji, Maelezo yako kuhusu ukabila katika ajira ni mazuri sana. Nimefurahi kwa quotes zako za JKN kuhusu hili. Watu wengi wana mawazo potofu kuhusu ukabila na udini katika ajira. Ukweli ni huo uliouelezea kwa ufasaha. Endelea kuelimisha
  2. T

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    samvulechole... hakuna hoja ambayo ni ngeni hapa.. madai ya makabila hayo kupendelewa hayakuanza leo! tangu mara tu baada ya uhuru kulikuwa na tuhuma hizo hizo.. so.. there is nothing there..! Hata hivyo hatari unayoweza kuleta siyo ukabila bali ubaguzi, kuwa kama mtu anatoka kwenye makabila...
  3. T

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Tunapojadili siasa za Nyerere ni budi tuangalie na wakati wenyewe na vilevile kutizama kwa undani Nyerere alikuwa ni mtu wa namna gani. Alikuwa ni mwalimu, alisoma historia na kwa hivyo alielewa misingi ya utawala na sidhani kama alikuwa mchumi, lakini aliweza kuuelezea uchumi kuliko hata...
  4. T

    East African Federation (EAF) public Views

    Mkereketwa I very much agree with you. You have made quite an elaborate explanation on your stance of not engaing in creating the EAFU at this moment and have pinpointed very good arguments. While TZ was clinging to the EAC in the 70's, KE deliberately wanted it to go and so it did bringing...
Back
Top Bottom