Mazoezi.my..
Jitahidi kuwa na ratiba ya kuamka mapema kwa ajili ya mazoezi..
Kichwa kitakuwa sharp..
Ukitoka mazoezi fanya shuhuli zako ndo uondoke home
Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza;wala sio mimi ila bwana ; mke asiachane na mumewe
Lakini ikiwa ameachana naye na akae asiolewe,au apatane na mumewe;tena mume asimwache mkewe
Kwa uelewa wangu pete huvaliwa moyoni..
Ni ile nadhiri kwamba nakupenda kwa moyo wangu wote na hali zangu zote.
Kuvaa pete ya ndoa/uchumba kama hauijui thamani yake moyoni ni sawa na urembo tu.
Mwanamke mwenye hekima angemshauri mume wake kufanya hvyo vtu chumbani kabla ya kutoka kwa sababu baba ameshaonesha kutopendezwa na hyo hali.
Usisubirie mume wako akuambie mfanye nini..
Huyo ni mzazi kwake hata kama hakuwa na mchango kwenye maisha yake..
Naelewa its boring mtu aje kwako na...
MAYBE Atakuwa ana mtu mwingine..hvyo haoni mvuto kwako. Kuna wengine hata zaidi ya mwaka..
Kama una moyo we kuwa mpole fuatilia taratibu utajua ana mchepuko.
Siyo rahisi sana..wanaume wengine wajeuri hawapendi kuambiwa makosa yao..
Ukimwambia ndo anazidi kukuchukia ..mwingine anakaa miez mitatu hata akusemeshi kisa umemuuliza jambo lenye ukweli..
Bora kunyamaza na kusali tu pale unapoona ukiongea inakuwa too much
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.