Recent content by Tsita

  1. T

    Hivi na nyie wapenzi wenu wako kama huyu wangu?

    Anaweza akawa anakupenda ila hajiamini au hakuamini Ndo maana ukimkwaza anakuambia muachane.. Watu wengine wapo hvyo..i used to be one of them
  2. T

    Sijui kwanini? Mke wangu sikuhizi hafurahii tendo la ndoa

    She z human jamani.. Anaweza akawa na sababu nyingi tu.. Mvumilie..ila jitahidi kuwa karibu sana na yeye.. Chunguza kama ana stress.. Mpe nafasi akusimulie hzo stress.. Mcomfort.. bila kugusia sex.. Atarudi tu kwenye mstari.. Cyo sahihi kutafuta mchepuko..na huyo mchepuko akikunyima then wht...
  3. T

    Wanaume kutooa wapenzi wao wa muda mrefu

    Kuwa mda mrefu cyo sababu ya kuachana ..ila mnapokuwa mda mrefu mnafahamiana ki undani zaidi..inawapa nafasi ya kuona kama unaweza ku keep up mkiwa kwenye ndoa
  4. T

    Msichana kanipenda lakini yupo na kigogo

    Siyo rahis sana mtu kukuambia ishu kama hyo..especially akiwa anakupenda.. Atakuwa anakupima.. Nendeni mkapime afya zenu then kama mko serious na mnapendana kweli past z nothng to worry abt.
  5. T

    Kwa waliooa/kuolewa hii tabia ni sahihi au?

    Kuna vitu vya kushirikishana ila cyo vyote kama kurekebisha tv,friji or what.. Vtu vngine viko ndani ya uwezo wake anajitahidi tu kuwa responsible
  6. T

    Mrejesho: Sijui huyu mzungu atanikubali?

    It was just for fun sema kibongobongo yani ukishatembea na mtu ndo mmeanza relationship.. For them its casual sex.. Pole
  7. T

    Mume wangu hataki kunipa chakula cha ndoa

    Habari zenu wapendwa, Nimeolewa na nina mtoto mmoja na nampenda sana mume wangu. Mimi na hubby wangu tumekaa ktk relationship for more than five years ndipo tukafunga ndoa. We were so much into each other hadi nilipofanikiwa kupata mtoto last year mambo yakaanza kubadilika. Ni mtu ambaye...
Back
Top Bottom