Nikiwa kama mmoja wa waratibu wa Klabu za waandishi wa Habari Tanzania tuliyokuwa tunafanya kazi na UTPC tunaomba kupaza saut zetu ili tusaidiwe kupata haki yetu.
Tumekaa bila mshahara tangu tulipwe Agost 2025 hatujalipwa hadi leo huku UTPC ikiwa kimya bila kutoa taarifa yoyote. Desemba 02,2025...
Kwakweli uongozi wa OUT unatakiwa ujitafakari sana...malalamiko yameshakuwa mengi. Na hakuna chcht wanafanya. Jamani tunateseka sana wanafunzi wa huku. Tunalazimishwa kulipia kusoma. Yani ulipe ada bado mwalimu akupigie simu sijui nipe kiasi hiki nije kukufundisha mkoani kwako..mara sijui nunua...
Hivi karibuni shirika la Children in Crossfire (CiC) liliingia mkataba na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari UTPC kupitia Klabu za waandishi zilizoko nchi nzima. Mkataba huo unaotakiwa kutekelezwa kwa miezi tisa (kwenye makaratasi) lkn kimkataba inaonekana mkataba utatekelezwa kwa miezi...
Habari
Sisi abiria wa Bus la Turu Best namba T 110 DAA kutokea Mbeya tumekwama hapa nadhani ni maeneo ya Fufu karibu na Chamwino tangu Saaa 8:52 usiku, wenyeji wa hapa wametaja kuwa eneo hilo linaitwa hilo jina nililolitaja hapo ni Dodoma mwanzoni ukiwa unatokea Iringa.
Hamna dereva wala konda...
Kuna tatizo kubwa kwa upande wa biashara ya mafuta wamekuwa na tabia ya kusuasua kuuza mafuta au kusitisha kabisa kuuza mafuta siku moja kabla ya Serikali kutangaza mwelekeo wa bei mpya ya nishati hiyo.
Makampuni mengi ya mafuta mfano Oryx yamekuwa na tabia hiyo wakiamini kama bei itaingezeka...
IMETOSHA! WANANCHI WA BUMBULI TUNAKATAA JINA LA JANUARY MAKAMBA
Kwa miaka 15 sasa, wananchi wa Jimbo la Bumbuli tumekuwa tukihadaiwa na ahadi zisizotekelezeka. Tumeshuhudia mbunge wa msimu, anayejitokeza tu nyakati za uchaguzi kama mtalii, kisha kutoweka bila kutatua matatizo yetu ya msingi...
Kumekuwa na taarifa za mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kwenye baadhi ya mikoa nchini. Mkoani Singida jambo hili sijalisikia lakini ni vyema mamlaka wakachukua hatua ya kuhamasisha usafi wa mazingira na haswa kwny migahahawa ya chakula na wauzaji wa vyakula mtaani.
Ukipita maeneo ya sokoni...
Sisi wakazi wa Hapa Nandanga Hii ni kero kubwa.
Tunachokijua Serikali ilishamaliza kulipa fidia wanufaika wa mradi wa Bandarikavu katika eneo la Katenjele lakini kinachoendelea Huku Nandanga ni eneo ambalo liko
Pembezoni mwa Bandari kavu ambapo kuna Mwekezaji anataka kuchukua Maeneo yetu...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa mstari wa mbele katika kuwawezesha wanawake kushiriki kikamilifu katika uongozi na maamuzi ya kitaifa tangu kuanzishwa kwake.
Kutoka kwa harakati za kupigania uhuru chini ya Tanganyika African National Union (TANU) hadi uongozi wa sasa wa Rais Samia Suluhu...
Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
Nimefanya utafiti kuhusu suala la mazingira katika maeneo mengi ya Kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza na hiki ndicho nilichobaini:
1. Taka zenye kemikali eneo la Soko la Samaki na Kamanga Beach
Sisi wakazi wa pembezoni mwa Ziwa Victoria tumekuwa tukishuhudia mambo mengi ambayo ni hatarishi...
Lamwike JF
Huku kijijini kwetu Njelela kilichopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe kuna Mwalimu anatutesa sana, kwa sasa amekaimu Utendaji wa Kijiji baada ya Mtendaji aliyekuwepo kwenda likizo ya uzazi.
Mwalimu huyo (jina nalihifadhi kwa muda) anachotutendea sisi Wakazi wa...
Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii.
Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day...
Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi
Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani).
Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira.
Kemikali ya Zebaki ni nini?
Kwa mujibu wa taarifa zinazopatikana Mtandaoni, Zebaki ipo katika metali ya kimiminika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.