Recent content by Truth will Remain

  1. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo(JWTZ): Wanaotaka kuvuruga amani ya nchi yetu watakiona cha mtema kuni

    HIVI JESHI LINAHUSIKAJE NA MIGOGORO YA NDANI!?
  2. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Mtoto apigwa na kisha kuwekewa pilipili sehemu za siri na machoni

    Hao wazazi wakapimwe mkojo
  3. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hana aichofanikiwa ameiharibu tu nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtumbua Naibu Waziri Suzan Kolimba, Dkt. Ndumbaro aula

    Teuzi hazijawahi kumwacha salama baba jesca
  5. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    HATUWEZI KUKUOMBEA KABLA HUJATUBU DHAMBI ZAKO
  6. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Kenya imenusurika kunyimwa pesa za misaada kutoka Marekani, Tanzania yakalia kuti kavu...

    Baba alinifundisha kuwa natakiwa niwe na marafiki wa faida zaido ya marafiki wajinga wajinga, KENYA WAMECHAGUA RAFIKI FASAHA, waarabu ni washenzi washenzi mtu mwenye akili hapaswi kuwa rafiki wa hao washenzi. ACHA TUNYIMWE MISAADA TUISOME NAMBA DAADEKI
  7. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

    ALBADILI INATAFUNA HADI INZI KWENYE JALALA LA MKUSUDIWA hongera kwa hiyo timua timua walao next election bao la mkono halitokuwepo
  8. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania KINGA NI BORA KULIKO TIBA

    kutokana na kuongezeka na kundi la watu wasiofahamika ambao wamekuwa wakitenda ama kutekeleza aina mbalimbali za kiuhalifu, tunaliomba jeshi la polisi litupe mbinu mbadala ya jinsi gani tunaweza kukabiliana na watu hao. KINGA NI BORA KULIKO TIBA
  9. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    HATA MUNGU HAYUPO KWA AJILI YA WALIO WEMA NDO MAANA AMEKOKA MOTO HUKO MBINGUNI ILI KUWABANIKA WENYE DHAMBI. Chadema kumchukua Wema ama wengine wote ambao mfumo unawaonea ni jambo jema kabisa. IDDI AZAN KAMA KADA NA MBUNGE MSTAAFU WA CCM ANAKASHFA ZA KUUZA NGADA TANGU NAKUNYWA UJI HADI L EO HII...
  10. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania PICHA 17: Kijiji ambacho kama huna boti huwezi kwenda hata dukani

    NIMEKIPENDA HIKI KIJIJI I WISH TO BE THERE
  11. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Serikali imuunge mkono Askofu Dr. Gwajima katika mpango wa kununua Treni ya Mwendo kasi

    KWANI HAO WAZUNGU WALIOPO NCHINI MWETU KULE KWENYE MADINI WAMESHAFANYA NINI CHA KUJIVUNIA, wanabeba madini watakavyo na kutuachia makorongo.
  12. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    SINA UHAKIKA ILA INADAIWA KUWA MWANAUME ANAYEPUMULIWA HATA AKILI ZAKE HUWA SIO NZURI anakuwa na tabia za kuwaonea wivu wanaume
  13. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    NATAMANI KUWA ZIRAELI MTOA ROHO
  14. Truth will Remain

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Kitendo cha kumtaja Mwenyekiti wa Chadema, Iddi Azan na Manji ni dalili tosha kuwa maombi yetu ya kuomba kuletewa mapapa wa madawa ya kulevya yamepuuzwa maana wameamua kutulete NYAGUMI. JAMANI HATA MBOWE??????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom