Nitazingatia haya mkuu, maana vijana tunapoteza sana, ukipiga hesabu kwa wote tuliokuwepo ni almost 10m imepotea kizembe kabisa, Bora tungeshauriana tufanye investment ya pamoja
Wakuu mambo ni vipi!! Natumai mmemaliza msimu wa sikuu kwa nguvu zote!! Nilitaka tushee uzoefu wa matumizi kwa msimu huu wa sikukuu!!!
Kwa upande wangu nilipanga kutumia laki 6 tu, ila wiki ya Christmas ikanivurugia hesabu kabisa maana nilikua mji wa masela wangu wengi, kunywa bia sana nakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.