Recent content by Trump2

  1. T

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

    Very stupid!Kigogo, Zitto, Lema ndiyo Watanzania wengi?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Aibu yao akina Kigogo, Zitto Kabwe, Lema nilioona wanaandika ujinga.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi: Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Nachingwea Watenguliwa

    Gerson Msigwa amekujibu?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi: Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Nachingwea Watenguliwa

    CC: KIGOGO, GODBLESS LEMA, MARTIN MM, Evarist Chahali
  5. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Mkuu Wabongo wanafiki sana, Presidaa ameamua kuwatega, tayari wamemiss
  6. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Kumbe mnamiss siyo? Hahaha
  7. T

    JamiiForums Tanzania Uwazi wa Rais Magufuli unawatesa sana akina Ansbert Ngurumo

    Nimeona 'Tweet' ya Ansbert Ngurumo akikosoa hatua ya mtuhumiwa Wa uhujumu uchumi kurudisha pesa zikiwa kwenye maboksi na utaratibu wa rais Magufuli kuwasaidia wananchi mbalimbali anapokuwa katika ziara mbalimbali za kikazi. Kinachowasumbua NGURUMO na watu wengine Wa aina hiyo ni uwazi Wa Rais...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna mazingira yanayofanya iwe halali kupindua nchi na kuuondoa uongozi uliopo madarakani kwa nguvu bila uchaguzi

    Nimesoma Makala iliyoandikwa kwenye Mtandao wa Kijamii wa Jamii Forums na mtu anayejiita SYNTHESIZER yenye kichwa cha habari "Kuna Mazingira yanafanya iwe halali kupindua nchi na kuondoa uongozi uliopo Madarakani kwa nguvu bila uchaguzi. Makala hiyo ambayo ilitolea mfano wa hatua...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Zitto kwa roho yako ya korosho, ungekuwa Rais tusingewauzia Zambia mbegu za korosho

    Bado unatapatapa tu, sijaona sehemu ya Sheria hiyo inayosema kuiuzia nchi nyingine korosho akapande ni kuhujumu uchumi, nani kakwambia hayo mataifa mengine tunayoyauzia kakwambia Nani hayaendi kutumia kama mbegu? Wapi imeelezwa kuiuzia nchi nyingine mbegu ni kuhujumu uchumi? Hayo mataifa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Zitto kwa roho yako ya korosho, ungekuwa Rais tusingewauzia Zambia mbegu za korosho

    Wewe ni miongoni mwa wagonjwa Wa akili. Kwa hiyo ukimuuzia unampa na masharti kwamba akale na asipande?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Zitto kwa roho yako ya korosho, ungekuwa Rais tusingewauzia Zambia mbegu za korosho

    Tarehe 06/10/2019 Rais Magufuli aliahidi Tanzania kuipatia Zambia tani 25,000 za mbegu ya Korosho baada ya Rais Wa nchi hiyo Edgar Lungu kuomba Tanzania iwauzie tani 50,000. Kufutia ahadi hiyo ya Rais Magufuli, Zitto Kabwe aliibuka na kuandika kwenye akaunti yake ya Twitter kuwa Rais Magufuli...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa; Zitto Kabwe adaiwa kujiandikisha mara mbili

    Unamdharau maza ako?
Back
Top Bottom