Recent content by Trophic

  1. Trophic

    Kwa Wadau Wote Wa Muziki Humu: Naombeni Feedback Yenu [Zoom]

    Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi? Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo? Natumia Fl Studio + Ableton Live. Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda...
  2. Trophic

    JamiiForums Usiku wa manane

    03:28 AM
  3. Trophic

    Appy - Mshindi (Trophic Remix) | Feedback/Maoni

    Asante sana mkuu 🙏🏽🙏🏽
  4. Trophic

    Appy - Mshindi (Trophic Remix) | Feedback/Maoni

    Hello, JamiiForums. So nimejaribu kuunda Remix ya hii nyimbo yangu pendwa kwa 2023, Mshindi yake Appy. Please Enjoy ✌🏾 Maoni pia yanakaribishwa. https://youtu.be/01_m_sADtbA?si=vc0G7z02l3zm32SP
  5. Trophic

    ZAIDI: Tribute Kwa Kina Mama Wote. Tafadhali Pitia Na Mnipe Maoni Yenu

    ZAIDI (MAMA) LYRICS [Verse] Mama, najivunia kila sekunde ilopita nikiwa na we, Uwepo wako maishani ni sababu nisipotee, Nlikua kadogo nimekua umekuza asante! Nakuimbea kwa mola daima we akukumbuke— Maana, sijui ingekuaje mimi nisingezaliwa nawe, Au ingekuwaje ungeondoka unitupe, Sidhani kama...
  6. Trophic

    ZAIDI: Tribute Kwa Kina Mama Wote. Tafadhali Pitia Na Mnipe Maoni Yenu

    Hello JamiiForums, Hii itakua thread yangu ya pili humu Jukwaani toka nijiunge kama member June, 2020. Mimi ni Producer, Composer & Songwriter. Ndani ya miaka mitatu nimekua nikijaribu kuendeleza craft yangu kiujumla na ningependa muweze kuipitia na kunipea genuine feedback, your support and...
  7. Trophic

    Kwa ma-producers wa JF: Naombeni ushauri, tips, etc

    Well, kuna progress 🤞🏾
  8. Trophic

    Kwa ma-producers wa JF: Naombeni ushauri, tips, etc

    Habari wana jukwaa, Nime attach track yangu, naomba kuambiwa pa kurekebisha, nilikopatia. Nlipoharibu kabisa. Style yangu ni EDM ie Electronic Dance Music, Sub Genre: Melodic Bass. Natumia FL Studio 20. Main VST's: Nexus, Serum, Purity, Native Instruments 8 Niko Soundcloud ...
Back
Top Bottom