Recent content by troiker

  1. troiker

    JamiiForums Tanzania Wanapokuja kukukamata bila utaratibu (kukuteka) ni bora wakuue mbele za watu kuliko wakuchukue, wakutese na wakuue mafichoni

    Sasa wakati anapiga kelele za kujiokoa mbona wananchi walipotezea?, labda tabia zake wanazijua, (mhalifu sugu),hata hivyo kuna taratibu njema za kudeal nae
  2. troiker

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita Mjini: CHADEMA walalamikia kuenguliwa kwa wagombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Aonyeshe ushahidi hadharani waliopitishwa wakiwa na mapungu ili twende sawa biashara ya kulishana matango pori haifai, weka form zao hapa hadharani, hata za kufoji tu,ili tujiridhishe
  3. troiker

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Tundu Lissu kaukwepa Ule Mtego wa " Hata mtaani Kwake Chadema ilikataliwa yeye akiwepo"

    Kaweka mpira kwapani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. troiker

    JamiiForums Tanzania Steve Mengele: Hata Viongozi wa Nchi wananitambua kama Steve Nyerere na Mwanangu ni Alex Nyerere, Mengele itabaki kwenye Kitambulisho tu!

    Aliweza(alipatia upande wa sauti sana) kumuigiza hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
  5. troiker

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa mbona kimya sana? Ama keshatupwa ghalani?

    Mission is over, alichotumwa kukifanya kakimaliza, kakunja chake, inasubiri ngwe nyingine 2025 elections
  6. troiker

    JamiiForums Tanzania Botswana tayari chama tawala kimeng'olewa baada ya miaka 58, bado nchini kama tuna dhamira ya dhati

    Kwanini iwe katiba na isiwe wapiga kura ndio wanaamua?
  7. troiker

    JamiiForums Tanzania Botswana tayari chama tawala kimeng'olewa baada ya miaka 58, bado nchini kama tuna dhamira ya dhati

    Hata hapa uwezekano wa vyombo vya dola kuzingatia matakwa ya umma inawezekana
  8. troiker

    JamiiForums Tanzania Botswana tayari chama tawala kimeng'olewa baada ya miaka 58, bado nchini kama tuna dhamira ya dhati

    Uwezekano wa kuving'oa vyama vya siasa kongwe barani afrika unaendelea vyema, ni zamu ya hapa kwetu, muhimu mtawala akubali kushindwa na akabidhi kwa amani madaraka. Aliesoma ndio aliekusudiwa ujumbe huu. Pia soma - Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada...
  9. troiker

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Dkt. Leonard Akwilapo ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)

    Qualifications zao ni nzuri, issue ni ku-deliver kinachokusudiwa
  10. troiker

    JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    Historia ya Mkoloni kwa faida binafsi
  11. troiker

    JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

    Wewe na makamba ni mbwa koko
  12. troiker

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

    Dr musukuma
  13. troiker

    JamiiForums Tanzania Israel Imesema Imetumia Sehemu Ndogo ya Uwezo Wake Kuishambulia Iran, Uwezo Kamili Itautumia Iran Ikijibu

    Your brainwashed by Jews, pathetic
Back
Top Bottom