Recent content by trisha cute

  1. trisha cute

    Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Nimekuelewa sis thank you [emoji3526][emoji123][emoji8]
  2. trisha cute

    Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    He can't do sex kabisa amepata sukari tukiwa kwenye mahusiano but nimeamua kuwa nae Kama jinsi alivyo ,Ana vitu vingi Sana ninavopenda toka kwake zaidi ya sex
  3. trisha cute

    Kipigo na mahusiano ni upuuzi

    Say it louder dear
  4. trisha cute

    Kipigo na mahusiano ni upuuzi

    This is for all women suffering and for men who bluttaly beat women ,hata iyo kidogo uliomaanisha no is no Isaynotoviolence
  5. trisha cute

    Kipigo na mahusiano ni upuuzi

    Hakuna swala la kidogo ,haitakiwi na iyo mentality Ni potofu na mbovuu. No means no ,mapenzi bila ushamba wa kupigwa na kupigana inawezekana Isay no to VIOLENCE [emoji123]
  6. trisha cute

    Kipigo na mahusiano ni upuuzi

    Kuna msomi na Kuna alie elimika #saynotodomesticviolence[emoji123]
  7. trisha cute

    Kipigo na mahusiano ni upuuzi

    Me too boo I won't intertain KIPIGO kwa namna yyote Ile and that's maybe wengi hawaolewi/ kuoa/ or even stay single for long [emoji123]Say no to domestic violence
  8. trisha cute

    Kipigo na mahusiano ni upuuzi

    Achana nae huyu alieandika anatakiwa kuwahishwa matibabu milembe
  9. trisha cute

    Kipigo na mahusiano ni upuuzi

    Ni upuuzi wa Hali ya juu kwakweli it's not even something to intertain imagine mtu Jambo Kama Hilo anaona Ni kawaida?[emoji119] It's crazy
Back
Top Bottom