Nipø najiulza swali moja hapa:-
Mapenzi na degree vinauhusiano gan?
Maana kila mwanamke vigezo vyake anataka mwanaume mwenye degree!
Je, ukiwa na degree ndo unakuwa na mapenzi ya dhat?
Na vp kuhusu sisi ambao hatujasoma, tusioe wasomi au?
Hapo unakuwa unatafta mwanaume mwenye elimu ya juu au...
Sema kuna watu wana madharau sana!
Hapo mahali yake ya kumuoa mnahc itakuwa shngap???
Halaf mwanamke mwenyewe kasoma lakn ndo hvyo!!! Hamna kitu!
Kwa akili ya haraka haraka hapo anatafuta pesa na sio mme!!!
Akili kumkichwa utaelewa nin namanisha 🧏🧏🧏🧏🧏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.