Magufuli stand ni sahihi kuwekwa pale maana ya kupanua mji. Ukiweka kila kitu mjini mfano pale ubungo Stand sio Afya kwasababu ya population ya watu. Afu pili saivi mwendokasi imeshafika hadi pale, kwaiyo hakuna usumbufu tena. Muhimu ni kuwakataza wamiliki wa Basi kuwa na stand binafsi ili...
Wao sio wajinga kujenga huko maana yake ni kupeleka maendeleo mahala pengine. Ebu fikiria stand ya Dodoma wameweka kule ili mji undelele upande wa Morogoro Road wangeweka katikati ya jiji isingeleta Afya. Sometimes muwemnafikiria kwa akili za kawaida.
Yeye kaona anahujumiwa ili hali sisi tunapomuuliza maswali mustakabali wa kero zetu anatuuelekeza tukawaambie wa chini yake, kwani sisi hatujawaona hao wa chini yake? Kwaiyo kaona lake halijawekwa sawa ndio anaropoka.Vip kuhusu matatizo yetu? Tunapomueleza afu anayatupa kapuni ww kwa ubongo wako...
Kuwajua wanawake aitaki uende darasani, anataka aonekane alivyokuwa mrembo kwenye mahala pakupiga kazi. Rais maskini wa fikra sana huyu. Tanzania nchi yangu yenye maajabu ya karne.
Mm ni mwadilifu niliotukuka siwezi fanya upuuzi wa kuwaibia watanzania wenzagu.
Nyie mnaoendelea kulamba asali endeleeni.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.