Yaani, viwanja saa nne asubuhi vimetangazwa vinaamza kuuzwa, Mimi nisha log in dakika 10 kabla.
Viwanja vikaachiwa watu wachague nakiona kabisa kiwanja hiki hapa kimefunguka nikiendelea mbele naambiwa hamna kiwanja kishachukuliwa, naenda kingine vivyo hivyo
Changa la macho tunapigwa na...
Wapiganaji:
· Michel Soro (Ufaransa): Rekodi 38-4-2, 27 KOs. Mtaani hujulikana kama "mkongwe", na amewahi kupigania ubingwa wa WBO miaka iliyopita.
·
Hassan Mwakinyo (Tanzania): Rekodi 25-3-0, 18 KOs. Anajulikana kwa ushindi wake wa kushtua dhidi ya Sam Eggington, na amekuwa mshindi wa mabao...
Mpira umekwisha. Mamelodi wanaondoka na ushindi mwembamba wa 1-0 mbele ya full packed stadium kwao huko Kwa Madiba.
Nani atachukua taji la champions league CAF?! Takribani week moja ijayo kwenye second leg final match tutajua bingwa ni nani watakapominyana Tena.
Mtanange uko live
Mamelodi wanaongoza 1-0.
Kipindi Cha pili kinataka kuanza VAR haifanyi kazi.
Refa anasema tukipige bila VAR, Mamelodi wanasema sawa, ila AS FAR RABAT wanasema hapana. VAR itengenezwe kwanza.
Mechi imesimama mafundi wanashughulikia VAR.
AFRICA KIVYETU VYETU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.