Nimesoma huu uzi na nilichogundua kuwa ni halmashauri ndiyo waliopita huko. tra wao hawatoi liseni ni halmashauri ndiyo wanatoa na pia hata sheria ya kuchukua vitu tra hawana utaratibu huo.ukipita hata maeneo ya mjini samora mara nyingi sana utaona wauza nguo au viatu au mabegi wananyan'ganywa...
Poor brain tra huwa hawausiki na liseni za biashara na kama ulivyoweka na ushahidi hao ni Jiji. tra wao huwa wanahusika na tin namba na hata wakipoita wataulizia tin namba au makadirio. Je uliomba kitambulisho ukaona ni tra? siyo kila anayekuja dukani ni tra kuna tra wao wataulizia makadirio tin...
Yes inawezeana kabisa kwani kuwa mfanyakazi haimaniishi shughuliza nyumbani usifanye. Ni kujiwekea mfumo tu mzuri na kusaidiana ndani. Mbona wakati mtu upo single mambo yalikuwa poa tu. Muhimu kusaidiana ndani na kama umejipanga vizuri ukiwa na kamashine kako ka kufulia unakuwa umepunguza kero...
Sasa Fazili mbona mfumo wenyewe mleta mada kasema unaanza Feb na wewe unasema lazima utumie vishoka mara Rejected wewe umejuaje mkuu hebu tuambie maana mfumo bado haujaanza.
Chief tra wao wanapelekewa sheria na malengo.Ndiyo kila mwaka unaona bungeni utasikia hiki kipande hivi hiki kipande vile.Hawana meno ya kupunguza au kuongeza sababu tayari ni sheria wamepewa kuzisimamia.Ni muda muafaka kuwauliza wawakilishi wetu.Ni kweli nakubaliana nawe kodi ni muhimu ila nami...
ndg John. ni ngumu sana watu kukuelewa nimeoma mijadala na kufatilia taarifa mbali mbali ila bado watu ni wagumu kukuelewa. Kama kusoma watumishi wengi wa umma wanasoma wapo madereva wanasoma wapo maofisa wanajiendeleza. ni vile mtu anaamua abakie hapo hapo au ajiendeleze. Sioni cha ajabu...
Nakubaliana na wewe maana ilimkuta mtu wangu yeye sasa gari yake ilikamatwa na kuja fatilia kumbe kuna gari kama yake ilikuwa na namba zake ikadakwa nayo yeye akaachiwa sababu alikuwa na nyaraka halali akaendelea. Watu wanatengeneza namba bandia na kuvisha kwenye magari yao
Hii habari mbona inashangaza maana niliona ni TRA wakitangazwa kuwa washindi kwenye vyombo vya habari na picha nilizobahatika kuziona
Picha namuona naibu wa kamishna wa TRA akipokea tuzo hiyo ya mshindi wa kwanza
Naona n
Mbona nachojua ukinunua unarejeshewa na walisema badala ya kulipa kodi wanalipizia deni la efd mpaka liishe.. Na pia ili uwe na efd si mpaka mauzo yako kwa mwaka yafike milioni 11?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.