Tabia za kichawi ni kujadili mitikasi ya wenzio kwa mrengo wa kuponda na kukebehi. Umeshindwa hoja sasa unamjadili mtoa hoja.
Hakuna mtu aliyekuomba umchangie kodi ya fremu wala mtaji sasa anachofanya/pata kwenye biashara yake wewe kinakuhusu nini!? Mbona wewe mshahara unaolipwa hauendani na...
Katika jamii yetu iliyojaa watu namna yako/yenu kutoboa ni ngumu sana. Watu wakiendelea kdg mnakimbilia kudai ni wadangaji/wauza Unga/matapeli nk. Wivu tu na husda. Hebu danga na wewe basi ufungue duka tukuone!!
Kama haya maelezo yako ndio hoja basi wewe hujui hata hoja ni nini achilia mbali...
Ni wivu tu.
Yapo maduka zaidi ya 50 naweza kukutajia ni ya miaka nenda rudi na yapo hiyo njia ya Bamaga - Shekilango. Utafiti wako kwamba maduka yote huwa mapya kila mwaka ni uongo wa mchana kweupe.
Kusema tu mizigo mingi ya kkoo inakuja shekilango ndio nikakuona hola! Mabasi ya mikoa karibu...
Mkuu huwezi kutoa hitimisho kwa kumtizama mtu mmoja. Yaani duka moja ndio likupe sababu ya kutolea ushahidi suala inayohusu mamia ya maduka!?
Wewe una mjua mmoja mwenye tshirt 12 mm nikikuambia ninawajua 50 wenye mizigo ya maana madukani mwao je!? Nani ambaye sample yake walau walau inamake...
Money laundering ipo kila mahali tena maeneo yenye mzunguko mkubwa wa pesa ndipo inafanyika vzr. Na kwanza utakatishaji kupitia bidhaa halisi mf nguo na viatu ni mgumu sana. Tofauti na huduma. Unatakatishaje bilioni 10 kwenye biashara ya nguo!?
Vijana wanapambana hapo sjnza kwa namna...
Wanaosema habari za kujiuza sijui money laundering mara madawa ni wivu tu na wengi pengine hawajawahi kufanya biashara. Hivi watu biashara ya madawa wanaivhukulia poa sana kiasi hata mtu yeyote tu anaweza kuifanya eeh!?
Wafanyabiashara wengi wa sinza ni legit kbs na wapambanaji wenye style yao...
Kwa nini wasimpe hizo silaha!? Wanaogopa nini!? Njia pekee ya kuzuia Urusi asiishambulie Ukraine ni pale Ukraine atapokuwa na uwezo wa kujibu mashambulizi kwenye ardhi ya Urusi. Kwa nini hawampi huo uwezo!?
Mtatoa milio yote. Dola bilioni 100 na ushee hazijafua dafu. Bakhmut kwa mlivyoilinda ila imekuja kutwaliwa na KKsecurity ni aibu!
Kwa brigade zilizokuwa fortified hapo bakhmut ni dhahiri Urusi akitaka sehemu yyt ukriane anaichukua.
Sasa kama ni halali kwa nini sio halali Urusi kuivamia Ukraine!? Double Standard!?
Alaf matunda ya kuivamia Afghanistan ni nini mpk sasa!? Uharibifu!? Maana hamna kilichobadilika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.