Recent content by triciamasawe

  1. T

    JamiiForums Tanzania Join me......just kufurahia maisha........sio kuoana

    Over my dead body.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Join me......just kufurahia maisha........sio kuoana

    Mungu wetu tusaidie!! ila bora umesema ukweli mtu ajue mwenyewe tatizo lilipo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    umeshinda hongera. happy?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    Sio mgeni JF mimi!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    Sio Mgeni JF mimi!!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    la kwanza.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    nanii?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    Hivi kwani wanaokuwa kanisani ni kina nani? hakuna watu wa JF wanaokuwaga kanisani? Tunaokutana nao shopping na sehemu za kijamii ni kina nani?? (sio hawa humu JF?), na wakazini je? (sio hawa JF). Na hawa waharibifu wa JF (according to you) wanatokea wapi???(sio makanisani, shopping na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    No way:nono:
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    Unaishi na Masela in the age range I have mentioned? you must not be serious? au masela ni kina nani???
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    After a week of no PM. haha!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    . Unachosema ni kweli lakini unajua perception ikimuingia sana mtu inakuwa reality. nakuweka reserve though.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    Aisee tatizo ni kubwa mpendwa, naona kama hautaielewa situation yangu ya kuwa na watoto vizuri, thats why nahitaji mwenye mtoto. Pole sana usikate tamaa kuna mabinti wengi utapata mmoja.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    Badala ya kung'aka na mie ungeandika maombi maalumu kwa uongozi wa JF waondoe kabisa hili jukwaa. asante.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume (34 - 42)

    Ugumu uko wapi Jamani, kama uko kwenye relationship hapo pagumu kweli yani.
Back
Top Bottom