Recent content by Trichuria

  1. T

    JamiiForums Tabia ya wanaume kuchelewa kurudi nyumbani

    Asanteni nyote wadau kwa ushauri wenu nimepata kitu.
  2. T

    JamiiForums Tabia ya wanaume kuchelewa kurudi nyumbani

    Nitonye asante, Kabla ya ndoa muda wote aliokuwa free alitaka tuwe pamoja, kitu ambacho kilinifanya nimzoee na yeye kuwa kila kitu kwangu rafiki yangu, mshauri wangu baada ya ndoa ndio akaanza kuwa bize na marafiki zake na urafiki wetu ukapungua ilikuwa inaniuma nikimuambia atabadilika muda...
  3. T

    JamiiForums Tabia ya wanaume kuchelewa kurudi nyumbani

    Hi wana forum ninahitaji sana ushauri nipo kwenye wakati mgumu na sijui cha kufanya. Mimi ni mama wa watoto watatu nimeolewa mtoto wangu wa tatu anaumri wa miezi miwili sasa. Nina mume na tunaishi vizuri anatuhudumia kadri ya uwezo aliojaliwa na mungu kwa kila tunachohitaji kama kiko ndani ya...
Back
Top Bottom