Recent content by Traveller255

  1. Traveller255

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Mimi natoa migebuka ziwa tanganyika nasafirisha popote nchini tena wabichi
  2. Traveller255

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kwa wanaojua ni changamoto gani imeikumba biashara ya samaki kutoka ziwa Victoria?

    Kwann usijaribu kuuza sato za kutoka ziwa tanganyika na migebuka mimi nafanya io kazi pia
  3. Traveller255

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wadau naomba coments
  4. Traveller255

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Waungwana kuna jamaa anajiita philip Donald yeye anauza tickets za kubet je kuna yoyote humu amesha test je ni mkweli???
  5. Traveller255

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha njugu mawe

    Naham nijue soko sababu nimefatilia bei za mazao tab trade ni 180,000 kwa gunia pi masokoni kilo ni 3500 nataka nijue zaid soko lake kubwa ni wapi hpa nchini
  6. Traveller255

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha njugu mawe

    Nimela njugu hekari 3 je soko lake lipo kubwa wadau?
Back
Top Bottom