Recent content by Trapea

  1. Trapea

    Tanzania Vs Rwanda

    Mashabiki Wa mpira hasa waliobahatika kutuwakilisha Kirumba jijini mwanza, watupe matokeo! Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  2. Trapea

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Anaelinganisha Mwanza na Arusha hajui hata historia ya majiji haya mawili. Kwa ufupi Mwanza ilitangazwa kuwa jiji mwaka 2002, Arusha mwaka 2010. Mwanza inaundwa na manispaa mbili; mwanza jiji na manispaa ya Ilemela. Arusha halmashauri ya Arumeru inayounda jiji la Arusha bado haijawa na hadhi ya...
  3. Trapea

    Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

    Kama ni Kwa maendeleo ya Taifa, wanaMwanza na kanda ya ziwa Kwa ujumla acha wabomoe tu. Lakini wasisahau kumlipa fidia kama ana vibali halali kwan in gharama kubwa imetumika kuwekeza pale
  4. Trapea

    Ni sawa kununua gari ya TZS 15 Million huku ukiwa unaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule?

    Kununua gari siyo kazi, kazi kuitunza! Ni kama umeongeza familia ya pili! Hakuna baba mwenye, kuna baba mwenye nyumba!
  5. Trapea

    TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.

    Ni jambo Jema, sema fukuafukua hizi sidhani kama zitawaacha marais waliopita salama. Bora tungeachana na yaliyopita tukaweke mifumo mipya ikiwa ni pamoja na katiba mpya.
  6. Trapea

    Wauza unga wanaishi maisha ya kifahari jela, wengine wanalala kwao usiku na upelekwa jela kukikucha

    Vita dhidi ya madawa ya kulevya haikuwahi kumuacha mtu salama. Hawa jamaa wanapesa nyingi. Niliwahi kumsikia msanii mmoja mwathirika wa dawa za kulevya anatoa ushuhuda kuwa anaweza kutumia si pungufu ya laki 5-7 Kwa siku Kwa ajili ya hizo dawa! Kokotoa ni kiasi gani hao wauzaji wanakusanya kwa...
  7. Trapea

    Naiomba Serikali iruhusu uhamisho wa watumishi wa umma Serikali za Mitaa

    Imezoeleka serikali chini ya wizara yake ya TAMISEMI kutoa vibali vya uhamisho kila January/July ya kila mwaka. Cha kusikitisha toka uongozi Mpya wa awamu ya tano uingie madarakani hamna uhamisho wowote uliofanyika Kwa kigezo cha uhakiki wa vyeti feki na watumishi hewa. Hayo yote tumeyakubali...
Back
Top Bottom