Japo nimechelewa kuona uzi huu, lakini changamoto hii imenikuta sana sio chini ya mara 4. Na shida ilikuwa hofu tu,na sijui hii hofu niliitoa wapi? Nashukuru Mungu saiv najua jinsi ya kuepuka hilo tatizo,
Sio hadi wamchukulie yeye .tunapo jifunza kupitia makosa sio hadi yakukute wewe ndipo ujifunze hata yakimkuta yoyote inabid tujifunze na tukemee kama linawezekana
Message…habari wana jamii .nimekuwa nikisikia sifa nyingi za mmea wa mlonge ,moja wapo ni kutumika kam mboga hasa majani yake.kwa huku kwetu mwisho wa leli hizo ni kama hadidhi,wengi hatufaham ,Msaada kwa yoyote anae jua namna ya kuandaa pishi hili anisaidie niweze kujaribu c mnajua uhondo wa...
Message…habari wana jamii mm ni mfugaji mdogo nafuga kuku wa kienyeji .kuku ninao wachache tu c wengi.hivi juzi nimeanza kuona wanaumwa ugonjwa kama kukohoa hivi.nilipochunguza nikagundua vitu kama kamasi puani .sasa sijajua ni ugonjwa gani Na tiba yake ni IPI .kama nitapata dawa ya kienyeji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.