Kuna watu wanakera kwenye JF. Mtu anauliza swali kwa kutaka kujua, kuna watu "wapumbavu" wanaanza kutoa majibu ya kusanifu. Kama hujui jibu la swali ni bora ukapotezea. Kwa upumbavu kuna watu watataka kurumbana na mimi. Naomba tushindane kwa hoja na sio "upumbavuzu"
Muungano ni mzuri pale nchi zilizoungana zikanufaika na Muungano. Ila nina mashaka na huu muungano uliopelekea likatokea jina la TANZANIA. Kwa uelewa wangu, Tanganyika haipo tena kama nchi lakini Zanzibar inatambulika kama nchi, kwa nini?
Kwa kuwa kuna nchi ya Zanzibar basi na nchi yetu ile ya...
Uhuru wa Sudan ya kusini ni fulsa kwa Tanzania kutumia badari ya Dar-es-Saalam na Tanga kupitishia Contena za hao jamaa ili tupate kupandisha Uchumi wa Tanzania....
Tanganyika na Zanzibar ni nchi mbili zilizoungana mwaka 1964 na kupatikana TANZANIA. Je, muungano huu unamanufaa kwa pande zote mbili yaani Tanganyika na Zanzibar?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.