Weka miti mingine,usitoke kwenye line,panda miti mingine kwingine,Mimi nimeanza upya kupanda miti, Iringa magumashi this time Niko Morogoro nimeanza upya kabisa na wala sina muda na kelele za watu, sababu sishindani na mtu ni passion yangu kupanda miti,na wala Sina haraka hata kama ajira ikiisha...
Commerce and Economy kama hujasoma uulize,impact ya deni inakwenda kwenye house hold level indirect,impact ya stress za kulipa inaenda indirect kwenye house hold level,impact ya deni inleta stress hata kwenye Budget,buda ask to learn not argue to fool.
Sasa athari za mkopo huoni vijiwe vya mazao vyote vimehamia Msumbiki huku mbaazi 500 kwa kilo,na mzunguko wa pesa hakuna,watu wachache ndo ma DJ wa nchii hii,sasa hio sio kudaiwa hadi nyumbani.Huduma za barabara ni mbovu toka doma.mpaka.Bofa ya Tunduma kasoro Iringa,vibarabara vyembamba kama...
Tumegundua Rais nchi hii sio kipaumbele sababu wizi unaanzio huko,sasa watajua wenyewe mpaka wajimalize kwa madeni na utitili wa mikopo umiza na mikataba mpaka vitandani kwao ndo akili itakaa sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.