Recent content by tracy

  1. tracy

    Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

    Ukishakuwa addict wa kitu chochote inahitajika nguvu ya ziada kuacha iwe ni unga,chakula,pombe,sex,etc chukulia mfano wa mtu ambae yuko addicted/obssesed na mume au mke wake(siongelei upendo) unaeza kuta anajua kabisa haya mahusiano hayaendi vizuri ila hana nguvu ya kumuacha,mwingine anaambulia...
  2. tracy

    Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Lara you are a rare stone umeweza kunieka nisome tu tokea saa 5 hadi saa 8 lol ubarikiwe..nimejifunza mengi
  3. tracy

    Kuandika majina ya Mwanamke kwenye mali sio mapenzi, ni ubwege

    Mada kama hizi ndo zinawapa nguvu wanawake ya kutafuta vya kwao. Sielewi kama humuamini mtu unaelala nae,anapika unakula,anakutunzia uzao wako etc.. Why stay with her? Kwa akili ya kawaida ati mtu anasema bora akifa mali zife..really?yani nikeshe kutafuta hela then watoto wangu waje kuteseka...
  4. tracy

    Mwanaume kwa asili ni Polygamist, Lazima atatafuta wa pili

    Nakubaliana na Nyani Ngabu hakuna binadamu anayeweza kumridhisha mwingine kwa kila kitu hata wanaume wana mambo mengi amabyo wanawake wanatamani wapate na ni muhimu kwao e.g unakuta mwanaume hana hela hatunzi familia hayuko romantic nae anashadadia haridhiki na mke mmoja lol Tatizo wanaume wengi...
  5. tracy

    Mke wangu hamtaki mdogo wangu wa damu tuishi naye, nifanyaje?

    Imenibidi Tu Leo mke Ni mtu baki lakini ukipata matatizo unategemea yeye ndo awe namba moja upande Wako. Wanaume waliambiwa waishi na wanawake kwa akili ILA wanawake inabidi waishi na wanaume kwa extra akili.smh ATI mtu baki,unalala na kuamka nae mtu baki dah
  6. tracy

    Mke wangu hamtaki mdogo wangu wa damu tuishi naye, nifanyaje?

    Huu Uzi umenifanya nijue Ni aina gani ya watu tunaishi nao.Kumbe mke Ni dispensable hivyo. Mtoa nada my advice is:Tumia njia nyingi kujua nani Ni mkweli ndo ufanye maamuzi.
  7. tracy

    Am not materialistic but I still can't keep a man

    mi nakubaliana nae pia If I knew what I know now ningejiepusha Na maumivu mengi yasio ya lazima Ila I thank God bado for the experience
  8. tracy

    Wake zetu msipobadilika mtaibiwa waume zenu tu, na si wabaya kama mnavyofikiria

    Nimependa sana ulichosema. kwangu ni kama wewe ila bado nina mtoto anayenyonya so the weight haijaisha yote. wanawake tumeumbwa tofauti(kama wanaume) some of us tendo la ndoa ni more emotional than physical. Nakumbuka when i was pregnant i was a walking elephant(how i felt) na sikuwa napenda...
  9. tracy

    Kwa kina dada na kina kaka wote hii inawahusu

    The twisted part ni kuwa wasichana wengi walifanya haya na waliishia kupewa mimba na kutelekezwa au pale mume alipopata hela aliamua kuchukua wa kuendana nae. Hayo yote uliyoyasema yangemake sense kama mwanaume in question angekua na moyo kama wa huyo unamsema otherwise huyo dada atakuwa mtumwa...
  10. tracy

    The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

    Ahahhaahha.. This got me rolling. Ila umalaya sio sifa.better keep it to yourself.
  11. tracy

    Natamani kujua kwanini alinificha jambo hili

    I agree capt ila swala la do unto others inategemea pia mazingira as i said earlier,upo ulivyo kutokana na vitu ulivyopitia na swala la passing judgement nadhani kwa hili swala haliapply based on the fact that huwezi kumforce mtu kuishi vile unavyoona nin sawa(thats in fact judgment already)...
  12. tracy

    Natamani kujua kwanini alinificha jambo hili

    Capt Nemo please tell me why mtu akiweka msimamo hataki mtu mwenye mtoto tayari ni vibaya kwanini tumpangie mtu vigezo vyake vya kuchagua mwenza? kama watu wanataka wenza weupe,wenye miguu mizuri,big a@@ etc na ni vigezo ambavyo ni vya kuzaliwa navyo na tunaacept why not kigezo ambacho most...
  13. tracy

    Natamani kujua kwanini alinificha jambo hili

    Hata mimi hapo ndio nimeona maruerue mtu anakutishia kukuacha kwa makosa yake????? it reminds of my friend,yeye alikua jamaa akikosea naulizwa "sasa kama unaona nina kosa sana unakaa na mimi ya nini,si uondoke??? hizi ni dharau za hali ya juu Tatizo sio mtoto ila uongo wa huyo kaka mtu...
  14. tracy

    Single mothers, walioachika na waliofiwa wapo, kwanini vijana mnakuwa na wake za watu?

    AMEEN.. Na kwa waume za watu kwenye ulimwengu wa roho its the same thing They steal everything good in the single ladies have, be it love,harmony,freedom, and at the end karma destroys their lives.
  15. tracy

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Mi baadhi ya wanaume mnanifurahishaga tu hapa yani jinsi wengine wanavyoongea utafikiri asilimia kubwa wako na mihela mingi kumbe wengi zama hizi wanasaidiana na wake zao kwenye kipato ila behind keyboards kila mtu tajiri na laki sio pesa :lol:
Back
Top Bottom