Recent content by TPKitula

  1. T

    JamiiForums Tanzania Historia: vituko ulimwenguni

    Hapa ni kamba
  2. T

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari yaliyotumika kutoka Dubai kwa cash na Mkopo

    Whatsapp pagumu kaka. Angalau dm
  3. T

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari yaliyotumika kutoka Dubai kwa cash na Mkopo

    Vigezo vya aliye na biashara ni vipi?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimetapeliwa

    TOA namba zao
  5. T

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Shinyanga ihamishie stand kuu ya mabasi jirani na viwanja vilivyopimwa Nhelegani Mashariki ili kupanua mji

    Haujajibu swali mzeee. Ipelekwe usanda kabisa ili mji ukue kwa haraka. Umesema mnataka kuuzwa. Je Mko wangapi mnaotaka kuuzwa?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Shinyanga ihamishie stand kuu ya mabasi jirani na viwanja vilivyopimwa Nhelegani Mashariki ili kupanua mji

    Kama umesoma kweli, basi aliyekusomesha hakufikiria vyema uamuzi wake kumsomesha mtu kama wewe kwa haya unayoyaandika hapa! Hivi una uelewa kweli kuhusu kata ya kizumbi na barabara kuu inayopita kizumbi? Usipende kujiaibisha bure mzee. Rudi darasani ukaisome upya Shinyanga.!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Shinyanga ihamishie stand kuu ya mabasi jirani na viwanja vilivyopimwa Nhelegani Mashariki ili kupanua mji

    Zipo ofisi za mabasi ya dsm. mnakatiwa ticket kisha mnapewa usafiri wa kufika stand ya mabasi ya dsm. Ondoeni shaka.!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Shinyanga ihamishie stand kuu ya mabasi jirani na viwanja vilivyopimwa Nhelegani Mashariki ili kupanua mji

    Kwa uelewa wako umeaminishwa barabara kuu haipiti kizumbi nhelegani? Inavyoonekana wewe ni mgeni na hauufahamu mji wa shinyanga. Kasome upya map ndio uje kubishana hapa. Karibu tena!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Shinyanga ihamishie stand kuu ya mabasi jirani na viwanja vilivyopimwa Nhelegani Mashariki ili kupanua mji

    Nani aliekudanganya kuwa nhelegani ni porini? Unayajua mapori kweli wewe?
Back
Top Bottom