Recent content by Tozo

  1. T

    GE2025 CCM inahitaji vyama shirika vya upinzani kuliko chochote. Tishieni kujitoa kuwa hamuwezi mudu tena ghalama za kampeni. Mtanishukuru

    Ubingwa wa Yanga bila Simba sawa na CCM kushinda Urais bila Chadema. Wananchi hawajui hata kama kuna kampeni.
  2. T

    Mnaoona Wivu Rais Samia kutoa Tsh billion 1 Taifa Stars ikiwa Bingwa wa CHAN huko Kenya Ruto kaahidi Ksh million 600 sawa na Tsh billion 12

    Wangeahidi kwa kila mechi wanayoshinda au kila hatua timu inayofikia. Hii mpaka uwe bingwa wanajua haiwezekani.
  3. T

    Hoja ya Kikwete kuhusu Ridhiwani kwenye Uzinduzi wa Bandari Kwala ililenga nini, mbona haikuhusiana na kilichokuwa kinafanyika?

    Kuna wageni wa kimataifa anaongelea mambo ya familia na CCM. Ametutia aibu anapaswa kuwekwa pembeni kama mropokaji mwenzie Mzee Makamba.
  4. T

    GE2025 Sensa 2022, watanzania umri miaka 15+ wapo 29,842,718 na hao ndio wanasifa kupiga kura 2025. Tume ya uchaguzi itujibu 37,655,559 wanatoka wapi?

    Mheshimiwa sana Jaji wa rufaa, Judge Jacobs Mwambegele. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, fukuza wasaidizi wako waliokuandalia taarifa hii ya kupika ya idadi ya wapiga kura. Walipaswa kupitia hata Sensa ya Taifa 2022 kuondoa mkanganyiko huu. Watakupotosha hata wakati wa kupika matokeo ya...
  5. T

    GE2025 Sensa 2022, watanzania umri miaka 15+ wapo 29,842,718 na hao ndio wanasifa kupiga kura 2025. Tume ya uchaguzi itujibu 37,655,559 wanatoka wapi?

    Tatizo Tume ya Uchaguzi imejaa vilaza na makanda wa kusifia Samia tu. Sasa mtu kama Lucas akiajiriwa Tume ya Uchaguzi anaweza kujua hata kupika Takwimu. Ukisoma makala zake unajiuliza hivi Kwa nini mimba hii haikutolewa na mama yake.
  6. T

    Waliohamia CCM toka upinzani hawawezi ongoza kura ya maoni CCM labda Kwa kubebwa na Rais tu hata wakishindwa.

    Hii wanapaswa kulijua mapema. Msigwa, Bulaga, Matiko n.k. Msihangaike hata kutumia pesa kwenye kampeni.
  7. T

    PreGE2025 Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo

    Bila uchaguzi huru na haki ikaingia Chadema kweli hawatoki. Wanaweza kurithisha hata watoto.
  8. T

    Hii nguvu ya kisiasa na ushawiahi mkubwa wa John Heche imetokea wapi muda mfupi?

    Chdema imekubalika hata Heche akikamatwa atayeingia yoyote akifanywa msemaji mkuu wa CDM atakubalika tu. Chama ni maarufu kuliko mtu hata Mbowe kagundua hilo ndiyo maana anajua akiingia Chaumma hana ule umaarufu tena.
  9. T

    UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

    Huwajui Kafulila na Zitto wewe. Tuulize tulio na ukaribu nao.
  10. T

    Mwigulu Nchemba asingetumia nguvu kubwa namna ile bungeni dhidi ya ACT wazalendo na Chaumma, Nadhani Chadema watashiriki Uchaguzi mkuu!

    Mpinzani hawezi kuwa Rais nchi za kiafrika bila kujubalika na kkupata suport toka kwa wakubwa wa dunia. Mrema na NCCR hawakuwa na sifa hiyo. Usichoke kunywa mtori kama unataka kufikia nyama. Kutegewa muda na bunge la wafadhili wetu siyo jambo ndogo.
  11. T

    John Mrema wa CHAUMMA amefeli mapema

    Kama Waziri Mkuu Mstaafu Pinda anatumwa tofauti na mstaafu Sumaye aliyekosa utulivu kipindi kile.
  12. T

    Matangazo Mubashara Tumaini Tv, mtu anapigwa vijembe muda huu. Ni tukio la kusimikwa askofu katoliki jimbo Bagamoyo..

    Niko live. Namwona mama Mbonampaye Mpango anafuatilia nyimbo na kucheza kwa furaha kuliko kipindi cha nyuma kwenye taafrija hizi.
Back
Top Bottom