Recent content by Toyotatz

  1. T

    Soko la mayai ya kienyeji

    Ya kuku wa aina gani ndugu coz kuna kuku wa kienyeji aina nyingi kwa makabila yao
  2. T

    Nissan XTRAIL GT Inauzwa

    Weka picha mkuu na pia hiyo bei kulingana na maelezo yako kama milage na mwaka ilipotengenezwa ni juu, jaribu kuweka bei ambayo ni kulingana na bidhaa yenyewe na sio bei ya kumkamatisha mtu. Kwa sasa tupo digital hivyo watu wanaona bei kwenye websites. Nawakilisha
  3. T

    Bei ya cherehani mpya kwa sasa

    Hebu fafanua, wataka cherehani ya umeme au ya kawaida?
  4. T

    Mashine za kutotolea vifaranga vya kuku

    Mkuu kuwa mwazi na biashara yako coz biashara bila kutaja specification ni kama kuuza mbuzi kwenye gunia.
  5. T

    Bei ya cement (Wazo kiwandani)

    Mkuu wengi tuko interested, sema bei.
  6. T

    Ushauri kuhusu kilimo

    vilevile unaweza ukapitia website ya wizara ya kilimo
Back
Top Bottom