Recent content by Toxicer

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    . Mkuu vp kuhusiana na kuruhusu uvaaji wa nguo za nyumbani shulen hapo???? Na je simu zinaruhusiwa ??? ........na ratiba ya msosi je???? Nisaidie mkuu!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    MMMh !
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    Jaman waalimu wa Tuitionz moshi mjini wanapatikana kwa upande wa phys bios and chems?? Au ndo hivyo m2 akifunga skuli mpaka Dar ndo atapata waalimu wakali??
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    Bei zao je???
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    Vp maticha wa tuitionz moshi mjini wanapatikana kwa upande wa Phys , Bios and Chems??????
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    Mkuu vp uazimishaji wa vitabu shuleni vipo vya kutosha? Hasa vya phys, Chems &bios!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    Me nimechaguliwa pale Pcb vp lakin mazingira hiyo combination hapo ? Na je nilazima kwenda prepo kila siku au?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    Kwa aliyechaguliwa hapo form5 2013 jaman tuwasiliane kupitia 0758949340.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Joining instructions form five lini?

    Old moshi pia kwangu!
  10. T

    JamiiForums Tanzania help please!!!!

    Naaaam!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Joining instructions form five lini?

    mmmmmh! tena Kwel maana siku za songa! Tarehe 29 hiyoo! Kuripoti mashulen!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Urahisi na uzuri wa combination ya PCB!!

    Na vp kuhusu BAM? Inasomekaje ?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Urahisi na uzuri wa combination ya PCB!!

    Ahsante mkuu! Nimekupata lakini vp kwa upande wa chem nichukue chand ipi maana naona zina aina mkuu!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Urahisi na uzuri wa combination ya PCB!!

    ahsante saana mkuu kwa ushauri vp kuhusiana na ratiba ya phcs maana ni janga la kitaifa hasa kwa pcb!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Urahisi na uzuri wa combination ya PCB!!

    Ahsante sana mkuu! Lakini mbona physics inaonekana kuwa janga la kitaifa tena hasa kwa wachukuwao pcb?? Nini kifanyike kuleta mabadiliko??
Back
Top Bottom