Je, mfumo unaounganisha watu wenye ujuzi, kazi za muda na wanaohitaji huduma unaweza kusaidia kupunguza ukosefu wa ajira Tanzania?
Mfano:
Mtu akiwa free anaweza kupata kazi ya muda. Mtaalamu anaweza kupata clients kirahisi. Na anayehitaji huduma apate mtu wa kuaminika kwa haraka.
Lakini je...
Changamoto kubwa tunayo ipata kwa sasa si tu kwenye upande wa energy drinks matatizo ya figo yanazidi kuongezeka kwakuwa elimu haitolewi kwa wingi kusaidia watu kuepukana na changamoto hii. Uchakachuaji wa baadhi ya bidhaa umekuwa mkubwa.
Mf. Kunaongezeko la pombe feki nyingi kwa sasa na hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.