Recent content by Toussaint

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Naombeni ushauri wenu wadau au kama Kuna member mwenye tatzo kama langu anisaidie mawazo. Mimi nimehitimu Diploma in secondary education mwaka 2015, nilikua nikisoma masomo ya Sanaa yaani Historia Kiswahili na English. Nimekua nikiomba kazi Kila serikali ilipotoa tangazo la kazi lakin sijawahi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kweli imeshindwa kabisa kutumia vyombo vyake vya usalama kuwajua waliompiga risasi Tundu Lissu na waliomteka Mo Dewji?

    Waache wadhani tumesahau, jinai haiozi miaka mia tutaendelea kuhoji..
Back
Top Bottom